Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2015
Msanii mashuhuri wa bongo flavour MWACHI P ameachia nyimbo yake mpya inayoitwa MATESO KIDOGO .download na uisikilize hapa.hata hivyo MWACHI P anatarajia kutambulisha video yake huko TANGA baada ya kukamilika.
Moja kati ya wasanii wanowaburuza wana hip hop nchni YEKE YEKE ni miongoni mwao sikiliza Na download nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la MBILI ZA MOTO