Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2015

Sikiliza na download Top c, ni soo!!!

Wengi mna shauku ya kujua kwa nini nipo kimya kwa nini nilifanya poa nikapotea ni ajabu na kweli hata mimi sijui kwa nini kitu kizuri akidumu nasikia ngoma nyingi wana wanafanya na laiti ningekuwa mpitishaji wengi wangeniona mkazaji mana sijui wanaimba nini nina swali ambalo halina jibu mpaka leo  HIVI NI KWELI PROMO NDIE ANAE ZIMA CHECHE ZANGU Hilo niswa alimalizia msanii top c akipiga stori na blog  baada yakuikabizisha kaziyake mpya kwa C.E.O wa                                                        thefresh entertainment, lehii kwanjia ya mtandao 

Sikiliza na download Wiston makangale ft boss ngassa bange

Breaking News...Ester Bulaya Apeta Kura Ubunge na Chadema Kupitia Kura za Maoni...

ESTER BULAYA  Ameingia Tatu Bora ...KATIKA WILAYA YA BUNDA NA KUWA MTU WA TATU MATOKEO YA BUNDA MJINI PIUS KURA 61 MAGEMBE KURA 40 BULAYA KURA 37 FRANK KURA 35 MAGANJA KURA 5 JANE KURA 0 CHACHA KURA 0 Katika Ukurasa Wake wa Facebook Ameandika Hivi: CHADEMA tunaendelea tulianza na mungu tunamaliza na mungu, nawashukuru sana wanachadema Bunda kwa kunipokea na kunipa heshima kubwa, mbali ya ugeni wangu ndani ya chama mmeonyesha mnaniamini. mmenipendekeza kwenye majina matatu ili kusubiri uteuzi wa vikao vya kamati kuu vitakavyoamua nani apeperushe bendera katika jimbo la Bunda. Lakini pia mkanipendekeza kuwa namba moja kwenye viti maalum kwa kura nyingi. Nawaahidi sitowaangusha, yeyote atakae pita kati yetu tutashinda Bunda Mjini. Mungu ibariki Chadema ibariki Tanzania.

BASATA imemfungia Shilole mwaka mmoja, hakuna kufanya muziki!!!

July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja. Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘ Baraza limejiridhisha kwamba ulikiuka maadili ya kazi ya sanaa kwenye onyes ho lako huko Ubelgiji makusudi na umekiuka sheria kwenye ibara ya 30 (2) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwa kuvunja maadili ya jamii ya Mtanzania hivyo baraza linakusimamisha kujishughulisha na kazi za sanaa nchini na nje ya nchi kwa mwaka mmoja, kufanya kinyume na hayo kutapelekea kupewa adhabu zaidi pamoja na yeyote utakaeshirikiana nae ‘ – BASATA

Nchini Tanzania siasa zinaendelea kupamba moto kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

  Hii leo waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa amechukua rasmi fomu za kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA. Lakini kumekuwa na maswali kuhusu hatma ya Mwenyekiti wa chama hicho Wilbrod Slaa ambaye hapo awali kabla ya Lowassa kujiunga nacho kutoka Chama cha Mapinduzi CCM, alipigiwa upatu kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi wa rais.

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza, ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili  ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. Jinsi  hatua  za  kusimama  kwa  uume zinavyotokea 1. Hatua  ya  Kwanza: