Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2012

BRIDER KHAN WA SERENGETI FIESTA MC SHUJAA - TANGA

Ili umpigia kura brider khani awe super nyota fiesta 2012 tuma sms neno fiesta kaisha achanafasi andika namba 6 kwenda namba 15678

MSHINDI WA SERENGETI FIESTA MC SHUJAA WALIVYOCHUANA - TANGA

Washindi wakikabidhiwa zawadi ya kreti la bia ya Serengeti kutoka kwa Antu Mmoja wa wwashiriki wa mpambano huo akiselebuka na shabiki wake Mshiriki akiwania nafasi hiyo Mtangazaji Antu akisherekea siku yake ya kuzaliwa wakati wa mpambano Mtangazaji wa Clouds FM akimkabidhi keki Antu katika siku hiyo Antu Mandoza mwaandaji wa vipindi katika radio ya Clouds FM kulia akikata keki ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa. Kushoto ni mtangazaji wa Wikendi  Chart Show, Nickson Aunt akiwa katika pozi wakati mpambano ukiendelea Meneja vipindi Clouds Fm  sebastian Maganga Kushoto na Nickson wakiangalia mpambano Serengete  fiesta super nyota Wakifuatilia mpambano hu

CCM,Chadema wawatangazia kiama wabunge mafisadi

Mkutano ukiendelea Bungeni DK SLAA AONYA HAKUNA HURUMA, MSEKWA ASEMA RUSHWA  ADUI WA HAKI, MBATIA ATOA WIKI MOJA SPIKA AWATAJE WOTE     Kizitto Noya, Dodoma na Leon Bahati, Dar VYAMA vya CCM na Chadema vimetoa onyo kali kwa wabunge wanaotuhumiwa kwa kashfa ya kuhongwa na baadhi ya kampuni za mafuta na kulihujumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), vikisema havitasita kuwawajibisha pindi tuhuma hizo zitakapothibitika.Kauli ya vyama hivyo imekuja siku moja baada ya wabunge watano, watatu wa CCM na wawili wa upinzani kudaiwa kuhusika na vitendo hivyo vya rushwa, ambavyo vimesababisha Spika wa Bunge, Anne Makinda kuivunja Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na kuagiza uchunguzi wa kina ufanyike ili majina ya wahusika yawekwe hadharani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, viongozi wa juu wa vyama hivyo walisema wanasubiri kwa hamu taarifa rasmi kutoka bungeni. CCM: Rushwa adui wa haki Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa alisema chama hicho kimewaapiza wanachama

Kashfa yawakumba wanandoa wa jinsia moja Zimbabwe

WANANDOA wa jinsia moja kutoka nchini Zimbabwe ambao walioana kwa ndoa iliyofanyika nchini Uingereza mwaka jana wameingia katika kashfa nzito baada ya video iliyosambaa nchini humo ikimwonyesha mmoja wao akimsaliti mwenzake. Video hiyo ambayo iliwekwa katika tovuti ya mtandao wa kijamii wa You Tube ilichukuliwa katika nyumba wanayoishi wawili hao ,Nicky Chigoba Chalenga na mpenzi shoga mwenzake Chido Chalenga. Katika video hiyo Chido anaonekana kuwa na Brenda Muchi Soko ambaye ni dada wa DJ maarufu na mtangazaji nchini Zimbabwe Petro C Soko ambaye ni rafiki wa ndoa yao. Lakini kwa wakati huu rafiki huyu ameonekana katika kitanda cha mashoga hao na Chido ambaye ni mwanandoa wa Nicky. "Brenda unafanya nini katika nyumba yangu, na Chido katika kitanda changu? nini kinaendelea hapa?" Nicky aliwauliza wawili hao. Chido aliduwaa, huku Brenda ambaye anaishi na mume wake karibu na nyumba hiyo akiwa hana la kufanya, Nicky alimaliza kutengeneza video hiyo

EBSS YATISHA TANGA NA 1 AUGUST DAR ES SALAAM

  Siku ya pili ya usaili wa Zantel Epiq Bong Star Search uliofanyika katika ukumbi wa La Casa Chika jijini Tanga. Majaji wameonekama kufurahishwa na vipaji na kuamua kuchukua watu sita badala ya watano ambao wataenda Dar es salaam kuiwakilisha Tanga. Zaidi ya washiriki 800 walijitokeza katika usaili wa mjini Tanga. Usaili utaendelea tena tarehe 1 mwezi Agosti katika eneo la Coco Beach Dar es salaam. WASHIRIKI WAKIWA TAYARI KWA VITA NA SILAHA ZAO MIKONONI    WASHIRIKI WAKIWA KWA FOLENI YA KUELEKEA KWA MAJAJI AMBAPO WALIKUA NA KAZINGUMU KWELI KUTOKANA NA VIPAJI   MAJAJI WAKIWA SERIOUS NA KAZI KATIKA KUTAFUTA WAWAKILISHI WA TANGA MSIKILIZE MADAM RITA

HAPPY BIRTHDAY Khalidee Tajiri

happy birthday besty,nimesikia wanaozaliwa july eti ni majembe kumbe na weye mmoja wapo,hongera kwa hilo, gudluck man

Coastal Union

Juma jabu ni mchezaji mpya wa coastal union...beki huyo wa kushoto aliyekua nguzo ya marcio Maximo wakati akifundisha timu ya taifa amesajili mkataba wa mwaka mmoja na wagosi......karibu tanga jembe uje kuleta changamoto na kutupa uzoefu wako kwa wagosi........!!!!!

WAWAKILISHI WA THE-FRESH ENTERTAINMENT BSS, 2012 TANGA

Nasoro Omri kushoto na Ibrahimu Sidi kulia Usaili unaendelea hapa club lacasa chica Endelea kutembelea blog hii soon utapata kilichojiri hapahapa,

JD: CHAMELEONE NI TAPELI WA KUTUPWA

John Dilinga, 'DJ JD', nae akiwaeleza wanahabari  jinsi alivyotapeliwa na Chameleone mwaka 2005. DJ mkongwe nchini, John Dilinga Matlou ‘DJ JD’, leo nae ameweka wazi utapeli aliowahi kufanyiwa miaka saba iliyopita na mwanamuziki raia wa Uganda, mwenye hulka ya utapeli, Joseph Mayanja Chameleone. JD, amewaeleza waandishi wa habari leo, waliokusanyika kwenye Hoteli ya The Atriums kwamba Chameleone siyo mtu mzuri anapokubaliana na mapromota, kwani hata yeye aliwahi kumtapeli dola za kimarekani 3,000, mwaka 2005. Alisema mbele ya waandishi wa habari: “Niliwasiliana na Chameleone moja kwa moja, akanikubalia kwenye tamasha langu lililokuwa linaitwa Wakilisha. Nilimlipa dola 3,000, baada ya kupokea fedha, hakuonekana tena na hata simu yangu akawa hapokei. “Aliendelea kunikimbia hivyo. Tatizo kubwa lipo kwa mapromota wa Kitanzania, hatuna ushirikiano kabisa. Kila alipokuja nchini kufanya shoo, nilimfuata promota husika lakini promota mwenyew

Utafiti wabaini: Wanawake wafupi hatarini kwa vifo vya uzazi

Baadhi ya wanawake wakiwa kwenye wodi ya wazazi ya Hospitali ya Temeke,wakisubiri kujifungua. Picha na Emmanuel Herman Na Maimuna Kubegeya SIKU zote mwanamke awapo mjamzito huwa na matarajio makubwa ya kukipata kiumbe chake ambacho huwa ni faraja ya pekee maishani mwake. Lakini inapotokea mwanamke huyo akashindwa kukipakata kiumbe alichokisubiri kwa hamu kwa muda mrefu wa miezi tisa, huwa ni msiba … majuto na upweke wa aina yake. Hiyo ndiyo hali iwakumbayo wanawake wengi wanaopoteza watoto wao wakati wakujifungua . Zipo sababu chekwa zisababishazo vifo vya watoto wachanga na moja ya sababu hizo ni maumbile ya wanawake wenyewe. Wengine si tu hupoteza vichanga bali hata maisha yao wenyewe huenda yakawekwa rehani katika kipindi hiki. Kwa mujibu wa Hadija Kimwaga, Ofisa Muuguzi na Mkunga kutoka Hospitali ya Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro, wanawake wafupi wako katika hatari ya kupata matatizo wakati wa kujifungua ingawaje si kila mwanamke wa aina hiyo kwani wapo wengine ambao hu

HIVI NDIVYO VICHWA VITAKAVYO WAKILISHA THEFRESH ENTERTAINMENT, BSS, TANGA 2012

Picha nivijana wawali IBRAHIM SIDI TWALONDAGA pamoja na NASSORO OMARI KIBUGO a.k.a VOICER  Tayari wamekwisha chukua fomu zaushiriki tayari kwa mchakato mzima vijana wakopoa na wanafanya mazoezi usiku na mchana ili kujiweka fiti kwaajili ya sikuio wakizungumza na blog hii jana jioni vijana walisema wako fresh na wanajiamini vyakutosha sababu wao niwakali na wanauwakika wakui wakilisha vema thefresh entertainment, na TANGA kwau jumla mwaka huu wa 2012 ikibidi ata star wamwaka huu atokee hapa jijini tanga waliongeza kua tunawaonya hao  wamikoani wajipange kwani wenyewe siwanafahamu kua  tanga kunavipaji vyakweli basi wakae tayari wasanii hao wakijigamba walipokua wanapiga stori na The-fresh blog walipotembelewa mazoezini kwao jana jioni walipoulizwa swali lakizushi kuhusu ushindndni mkubwa watakaokutananao sikuiyo ya usaili je wamejipangaje  kwapamoja walijibu hatukatai kweli hapa jijini tanga kunawakali kibao ila tutakacho kifanya sikuiyo ata m

Rick Ross "God Forgives I Don't Album Snippets"

Average User Rating: 3.36 85 people have voted. 5 is the most popular ranking. 34 people gave it a perfect five. While these are only short snippets we at least get a chance to hear what the Andre 3000 and Jay-Z /Dr. Dre tracks will sound like.

Swahili Kwenye simu Habari Ukimwi usiosikia dawa waongezeka Afrika

Aina ya ugonjwa wa ukimwi ambao hausikii dawa umekuwa ukiongozeka katika bara la Afrika katika muda wa muongo mmoja uliopita. Kwa muujibu wa ripoti iliyoandikwa na wataalam katika jarida la kisayansi la Lancet, hali hii imebainika baada ya watu 26,000 walioma virusi hivyo kufanyiwa utafiti.   Dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Taarifa zinazohusiana Afrika , afya Wataalamu hao wanasema kuwa hali hiyo ya ugonjwa kutosikia dawa huenda ikatokea ikiwa wagonjwa hawata zingatia na kutumia dawa walizopewa na pia ufuatiliaji mbaya. Shirika moja nchini Uingereza limesema kuwa hali hiyo inazusha hofu zaidi katika bara la Afrika ambapo njia mbadala ya kuwatibu wanaouguwa maradhi ya Ukimwi hakuna. Watatifi hao kutoka shirika la Afya duniani-WHO na chuo kikuu cha University College London wamegundua kuwa aina ya u