Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2015

NEW VIDEO:- Barnaba - Suna (Official Video)

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

Picha 4 wakati m/muheshiwa mkuu wa wilaya na wageni wengine waalikwa live updat !!!!

Picha kinachoendelea sasaivi nyumbani hotel kwenye uzinduzi wa kundi la tanga kwanza live updat!!!!

Sikiliza na downloud ngoma mpya ya Wiza mani hala za roho

Msanii anaetamba kwenye game la mziki tanzania na nje pia msanii DONSHER anatarajia kuachia wimbo wake mpya kesho jumapili 22/03/2015 katika studio za BREEZE FM RADIO 100.6 huko jijini tanga,katika kipindi cha SUPER STAR SHOW ambacho ana ki host a best presenter in tanga city CHOPPA ZON Ukiwa mmoja kati ya wadau wa mziki wa nyumbani na shabiki wa DONSHER usikose kusikiliza na ku download baada ya kutambulishwa kwa wimbo huo mpya.
Baada ya kimya kingi msanii anaetamba na hit song ya WANANICHUNGUZA wimbo bora wa mwaka ulioimbwa na msanii mashuhuri hapa nchini MSANGENI CLASSIC, hatimae ametoa tamko la ujio mpya wa song yake ambalo bado ipo studio,Wananichunguza ni nyimbo kali na inafanya vizuri hapa tanzania,wale mashabiki wa msangeni sasa unaweza kuipata nyimbo hii kupitia blog hii.DOWNLOAD NOW.