Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2012

ALIYEDHURIKA MUHIMBILI BADO MAHUTUTI INDIA

MTOTO Imrani Mwerangi (3) ambaye alipelekwa nchini India kwa matibabu baada ya kudungwa sindano iliyomsababishia mtindio wa ubongo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam, bado amelazwa katika Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU) cha Hospitali ya Hyderabad, India. Taarifa iliyotolewa jana na wazazi wa mtoto huyo kutoka nchini India, ilisema hali ya Imrani bado ni mbaya. Machi mwaka huu Imrani alipelekwa nchini India na Serikali baada ya kulazwa katika ICU ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tangu Julai 28, 2011. “ Tangu kipindi hicho madaktari wamekuwa wakipigania kuokoa maisha yake lakini bado amelazwa katika ICU ya Hospitali ya Hyderabad,India,” ilisema taarifa hiyo. Taarifa hiyo ilisema madaktari wanaomhudumia wamesema mtoto huyo ataendelea kutegemea matibabu katika maisha yake yote. “ Asante Mungu kwa kuendelea kumpigania mtoto wetu Imrani, leo anatimiza miezi kumi tangu alazwe katika ICU za Muhimbili na hapa India,” ilisema taarifa hiyo. Taarifa hiyo ya w

HABARI ZA INTERTAINMENT

SOUTH KING.............T.I.P KUTOKA NA COLLABO ...........KALI NA MKALI ANDRE 3000,YOUNG JEEZY NA KANYE WEST USIKOSE KAA MKAO WA KULA BAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSS

YOUNG D: NI KWELI NILIPATA AJALI WAKATI NATOKA KWENYE SHOW YA SIMBA.

Rapper Young Dar es salaam amekiri kwamba alipata ajali usiku wa jumapili wakati akitoka kufanya show ya club ya Simba kusherehekea ubingwa wake wa ligi kuu Dar Live Mbagala Dar es salaam. D amesema hiyo ndio sababu kubwa iliyomfanya hata ashindwe kuperform kwenye show ya Rachel wa THT Maisha Club. Chanzo cha ajali ni dereva Taxi akiwa kwenye spidi kubwa kujaribu kumkwepa mvuka barabara hivyo ikabidi afanye maamuzi ya ghafla na kugonga nguzo na kuingia mtaroni kitendo ambacho kilimfanya Young D apoteze fahamu hapohapo kwenye eneo la ajali, alipelekwa hospitali kuanzia hiyo saa tano usiku na kuruhusiwa kutoka saa nane usiku huo huo. Hata hivyo mbali na hiyo ajali, D amekubali kwamba amelipwa zaidi ya shilingi milioni moja kwa kuwa msanii pekee wa bongofleva kualikwa kwenye show hiyo ya Simba ambayo mashabiki wake waliutumia wimbo wake wa dada anaolewa na kuuita Yanga anaolewa baada ya kuishinda Yanga kwenye fainali, hiyo ndio sababu kubwa iliyofanya D aalikwe kuperform.

Sugu (Mbunge) Kutoa Kutoa Barudani Dar Live Jumapili Hii

Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Mbilinyi aka ‘M II’ au ‘Sugu’ amethibitisha kuwa siku ya Jumapili ijayo (Juni 3) atatoa shoo ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko M bagala, jijini Dar es Salaam.

Video Mpya In Town:Shetta ft Diamond – Nidanganye

Nidanganye - Shetta feat. Diamond Produced By KGT Video By Adam Juma

Kassim Mganga na Tip Top connection Bado Damu Damu

Pamoja na kwamba picha mitaani bado inaonekana mwimbaji Kassim Mganga hayuko kwenye uhusiano mzuri hata wa kirafiki na kundi lake la zamani la Tip Top Connection kwa sababu hajawahi kuonekana nao pamoja kwenye showz, Night Clubs hata kwenye mazingira mengine kama wanavyofanya wengine waliojiondoa kwenye kundi hilo, nimefurahi kuona Kassim Mganga amekubali kufungua kinywa chake kuondoa hiyo picha mbovu kwenye fikra za watu. Kassim amesema “huu ni mwaka wa pili toka nimetoka Tip Top na kuingia Manzabay, hakuna tofauti yeyote mi naona bado wale ni ndugu zangu tumefanya vitu vingi na tumetunziana siri nyingi sana, Madee tunawasiliana kila siku na tunakutana hata Deso pia” Kwenye sentensi nyingine Kassim amesema “Babtale pia napiga nae sana mazoezi kila asubuhi Mwembe Chai pale, unajua watu walio nje kuna vitu vingine hawavioni lakini wao wanavijengea picha kwa hiyo inabidi waelewe hivyo kwamba Tip Top bado ni familia yangu, naweza kumfata Meneja Tale hata leo nikamuomba msaada wowot

WANAFUNZI CHUO KIKUU WABAKWA, WALAWITIWA

WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St John mjini Dodoma, leo wamegoma kuingia madarasani hadi wawasilishe malalamiko yao kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Zelothe Stephen kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kupigwa nondo, kuibiwa kadi za benki, kompyuta za mkononi, kulawitiwa na kubakwa. Hali hiyo ilisababisha wanafunzi kukusanyika huku wakiwa wamebeba mabango mbalimbali ambayo yalikuwa yakisomeka, ‘Tunaomba ulinzi ili kubaka na kulawitiwa kukomeshwe’, ‘Ulinzi ni haki yetu ya msingi polisi Mko wapi? Tumechoka kuwa wajinga katika jamii yetu na Ulinzi Shirikishi stop crime.’ Baadhi ya wanafunzi hao walilaani vitendo vya wenzao kubakwa na kulawitiwa na kudai kuwa katika siku za hivi karibuni, mwanafunzi wa kiume ambaye anasoma mwaka mwaka wa pili aliibiwa na kisha kulawitiwa hali iliyolazimu alazwe hospitali. “Kesi kadhaa zimepelekwa polisi lakini hakuna chochote kinachofanyika,” alisikika mwanachuo moja akizungumza kwa jazba. Walisema kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na wakati mgumu

HABARI ZA INTERTAINMENT

MSANII WA T.N.G SQUAD APATA AJALI MBAYA DAR.............

BASATA YAWATAKA WASANII KUONGEZA THAMANI KATIKA KAZI ZAO

Huku kukiwa na juhudi za kutambuliwa na kuthaminiwa kazi za wasanii ndani na nje ya nchi, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka wasanii kuongeza thamani kwenye kazi zao ili kuzipa ubora zaidi. Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Habari wa BASATA Godfrey Lebejo wakati akihitimisha programu maalum iliyohusu Ubunifu, Utengenezaji na Uongezaji thamani katika Kazi za Sanaa kupitia Jukwaa la Sanaa. Alisema kuwa, ubora katika Sanaa unapatikana pia kwa Wasanii kuangalia wenzao wanafanya nini na wao kupata ubunifu mpya kwa kuongeza vionjo, uthamani na ubunifu binafsi katika kuifanya kazi ya Sanaa kwanza kupendwa na baadaye kupewa thamani kubwa sokoni. “Ni wazi Wasanii wetu wanapaswa kuzingatia uongezaji uthamani kwenye kazi wanazozifanya. Kubuni kazi ni suala moja lakini kuongeza uthamani katika kazi yako ili ivutie wengi na kuuzika kwa thamani kubwa ni suala lingine la kuzingatia” alisistiza Lebejo. Aliongeza kuwa, kwa sasa kuna taarifa

HABARI ZA INTERTAINMENT

Mrithi wa kipindi cha Track 2 track show ya 100.6 BREEZ FM TANGA apatikana kwa habari zaidi endelea kutembelea blog hii

THE FRESH 2012 BLOG ILIPOTEMBELEA STUDIO ZA 106.O MWAMBAO FM SAUTI YA TANGA KUPITIA KIPINDI KINACHO SAPOTI MUZIKI WA WASANII WAHAPA JIJINI TANGA TANGA FLAVER KINACHORUKA HEWANI KILASIKU ZA JUMA PILI 16.00 PM - 18.00 PM

Wanao onekana pichani ni dj mkali dj bizo na mtangazaji wakipindi cha TANGA FLAVER dj kiss 1 na saidi shabani wa the fresh blog wakilisongesha jahazi la muziki wa kitanga tanga nakupiga stor na watangazaji wa redio station hiyo ilioko nje kidogo ya jiji la TANGA KANGE TANGA FRESH Thefresh niaje jombaa? tanga flaver aina kwere jombaa karibu 106.0 saidi inimesha karibia kaka nini hasa nia yakuanzisha hiki kipindi cha tanga flaver? tanga fraver kusdio letu nikuwainua wasanii wadogo wanao chipukia hapa jijini tanga mwisho wasiku ndio hao wanao fanya vizuri ata baadhi ya radio station nyingine nchini na inje ya nchi nazani kaka unafaham tayari tanga inawakili shwa na wakali kibao ambao wameanza kufanya vizuri hapa hapa nyumbani saidi ebana kaka haina ubishi coz, ata mimi nimsikilizaji mzuritu wakipindi chenu so nafahamu nini mnachokifanya b't nina swali lakizushi kunako kazi yoyote hakukosekani vikwazo na changa moto je nichangamoto zipi na vikwazo vp mnavyo kutananavyo? tanga

MLIPUKO WA MABOMU WAUA NA KUJERUHI RAIA KADHAA SAA SABA MCHANA HUU

Majira ya saa saba mchana wakati jiji la Nairobi likiwa kwenye hali ya ututlivu ndipo ghafla amani hiyo ilipotoweka baada ya kusikika kwa kishindo kikubwa katikati ya mji huo na baadae kufuatiwa na moshi mkubwa angani. Ni tukio la kusikitisha sana baada ya kutokea kwa mlipuko kwenye jengo la Kibiashara la Moi Avenue kwenye barabara ya Moi na kuuwa watu watatu na kujeruhi wengine zaidi ya thelathini huku chanzo cha mlipuko huo kikiwa hakijulikani,,,,tutaendela kuwaletea habari,,,

BWANA MISOSI NA TOP C, WAJIPANGA KWA MAANDALIZI YA VIDEO YA MKONGWE RUWA

Akipiga stori na thfresh mkongwe ruwa leo hasubui aliipasha kua maandalizi yamefikia mwishoni tayari kuanza safari kuelekea dar, kuungana na bwana misosi pamoja na Top c, ili kukamilisha taratibubu za shughuli iyo mkongwe akiongezea alisema anatarajia mapinduzi katika game ya muziki wa bongo kwani amejipanga vya kutosha ili kuakikisha anawapa kile mashabiki wake wanataka kwani mbali na bwana misosi na Top c, pia watakuepo washikaji zake kibao kama TNG SQUARD, J I mkali aliewahi kushain na ngoma yake kidato kimoja ambae kwasasa anafanya kazizake zamuziki nailrobi nchini KENYA ngoma yangu mpya tayari imeshaanza kufanya vizuri redio za hapa nyumbani na bado naendelea kuisambaza sehemu nyingine na ata nje ya nchi coz, nimesha maliza mazungumzo na mku rugenzi wangu wa machoraa Lilian semfuko ambae anaishi DENMARK kwasasa yupo nchini kwa maa ndalizi ya mwisho pamoja na ndugu yangu antoniyo nugaz, wa cloud's tv. THE FRESH INAKUTAKIA MAFANIKIO KATIKA KAZI ZAKO MKONGWE RUWA

BAADA YA KAZI MZITO PALE BBA,KIJANA DIAMOND AKIWA ANARUDI NYUMBANI!

Hapa ni Diamond akiwa uwanja wa ndege nchini South Africa akiwa narejea Tanzania baada ya kufanya show yake ndani ya Jumba la BBA nchini humo wakati wa shughuli ya BBA eviction jana Jumapili.

CEDDY CARTER NA VITUKOVYAKE FACEBOOK

************************* OMBA MSAADA DADA. MAFUNDI HUWA HAWAKAI HIVYO WANAPOFANYA KAZI KAMA YAKO. ************************

INTER VIEW YA BRODUCER JB NA THE FRESH 2012

Niaje man jb, fresh ndugu yes naitwa saidi shabani toka thefresh blog jb, aah karibu kaka tupo tuna umiza vichwa saidi, pole sana kaka vp naona umezungukwa na washikaji kibao vp wanakudai kaka ? jb,amna hawa ni wasanii wangu tuko kwenye harakati zakurekodi saidi, he! kaka inamana hunautaratibu maalum wakufanya kazina na wasanii wako kaka? jb, amna upo ila leo nimewaita wengi ili tumalize shughuli kila mmoja achukue kaziyake siunajua watu wanataka laza kitaani saidi, nimekusoma kaka vp unaweza niambia nichangamoto gani unakutanazo kwenye hii kaziyako kaka? jb, ninyingi nikianza kuku chambulia jua litazama ila zaidi zaidi nipale mtu anapotaka kurekodi ile hali bado hajawa fiti kimazoezi au hata mashairi yenyewe hayaeleweki hapo ndio mtihani coz, ukimgomea anakujia juu au kama hatasema hapa kesho utasikia mitaani jamaa anaringa saidi, b't kaka kwani wewe unajali kazi au maneno ya mtu ? jb, dat is wat sup mimi najali kazi ndio maana leo umewakuta jamaa kibao hawa ndio wanajua jb

HAPPY BIRTHDAY The One Diva Loveness Love THE FRESH BLOG INAKUTAKIA MAISHA MAREFU

Leo ni siku yangu ya Kuzaliwa na Kifatacho Maishani Mwangu in 2015 ...Ni siasa ,ntakuwa Mwanasiasa ili kutetea maisha ya Mtanzania Mwenzangu apataye shida na ugumu huu wa Maisha ya Mtanzania Mwenzangu,stay tunned.

VIDEO COMING SOON.nitakutia dimu song

New single from Binti and Meg Cee..'Nitakutia Dimu'..producer Shirko recorded@Vibe Records, Mombasa!!! Big up Sauti tamu Meg, Afrika..sauti bado inawika!!!!! Video coming soon..keep it locked!!!

**SHARO MILIONEA NA KITALE** HAWA JAMAA WANATISHA MBAYAA KAMATA MWIZI MEN

FACEBOOK KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UDANGANYIFU!

Kampuni ya facebook ambao ndio mtandao unaoongoza kuwa na wanachama duniani ikiwa chini ya mmiliki wake Mark Zuckerberg inatarajiwa kupandishwa mahakamni nchini Marekani na wawekezaji walionunua hisa za kampuni hiyo baada ya kufanya udanganyifu kwenye mauzo ya hisa zao. Wawekezaji hao ambao walinunua hisa hizo wanaituhumu kampuni hiyo kwa kuficha na kutoa takwimu za uongo juu y thamani halisi ya bei ya hisa hizo, Kwani ikiwa chini ya uuzaji wa benki ya Morgan Stanley walificha kuporomoka kwa thamani ya hisa hizo kwa zaidi ya asilimia 18 kitendo ambacho kimepelekea wawekezaji hao kupata hasara, Kesi hiyo itasikilizwa nchini Marekani.

BLANDINA LUKINDO aka B WAUKWELI MKALI WAMIPASHO ANAE LITIKISA JIJI LA TANGA

Nimtangazaji wa kipindi cha KASHDA ZAPWANI Kinachoruka kila siku kupitia 100.6 BREEZ FM hapa jijini tanga unachezea B wewe ? JOORAILO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

"Mwenyezi Mungu akuongezee maisha marefu yenye bahati, Upendo na heshima"......Happy birthday my sister...!!

Neema Tembo Asanten sana marafik zngu na ndugu kwa kunijal na kunidhamin kwa cku i muhim kwangu mungu awabarik sana na juen kuwa nawapenda sana!

,UJIO MPYA WA TNG SQUAD BUMBA KAYESA INAKUJA HIVI KARIBUN

MOJA YA MA DJ WANAOSUMBUA JIJI LA TANGA DJ KICHWA KIBOVU

NOW ACOUNT YANGU MPYA IPO TAYARI NITAFUTE KWA JINA HILI KICHWA KIBOV 4M J5 HII SIITUMII TENA NA JINA NALOTUMIA SASA NI KICHWA KIBOV DJ SIO TENA BADFUVU THANX

KAMOYO KANGU KADOGO YA SELE STAR NA MASTER VOICER INATOKA WEEK IJAYO

Wasanii selemani mohamed na mwenzake nasoro voicer wamekwisha kamilisha kurekodi wimbo wao unao kwenda kwajina kamoyo kangu kadago wimbo uo ulio rekodiwa na producer anae sumbua jiji kwasasa J B wa studio inyojulikana kwa jina la ELZY REC, ilioko mitaa ya 4ez jiji TANGA jamaa walipo ongea na the fresh walisema mzigo ukotayari na muda wowote utakua mikononi mwao tayari kuutambulisha kwa hewa wakiongezea walitamba ngoma imesimama kinoma tuna tarajia mapokezi mazuri kwa mashabiki wamuziki huu hapa nyumbani na nnje pia tunafanya mchakato wakuifanyia video na production ya FLACONE PRODUCTION iliopo hapa hapa jiji so watu wetu wakae mkao wakula

HUYU NDIE JONXON WA MAMA JOJO

Ni msanii wamuziki wa kizazi kipya anae chipukia hapa mkoani TANGA tayari amesha kamilisha ngoma yake yakwanza inakwenda kwajina la MAMA JOJO nibonge la ngoma mkono wa producer ANDWU MUSIC pia jojo ameshiri vema katika nyimbo inayosumbua kwasasa inayokwenda kwajina la CHU CHU CHU ya msanii mwenzake BRIDER KHAN isitoshe jojo nimkali wakutunga na kuimba kwani tayari amekwisha andika nyimbo za wakali kibao ambazo kwasasa zinafanya vizuri redio station za hapa mkoani MAMA JOJO ya jonxon ikotaya kaeni mkao wa kiburudani

HAPPY BIRTHDAY ILEFU MWENYEZI MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU KAKA THE FRESH 2012 INAKUTAKIA SIKU NYEMA YAKUZALIWA KWAKO USHEREHEKE KWA FURAHA NA AMANI

UJIO MPYA WA COSH MAPENE BONGE LA SONG VINA KITAMBO

Mimi sinamengi ila mashabiki wangu wakei mkao wakula cosh cosh akiongea na Thefresh alipotembelea ofisini kwetu hasubui

NIMKALI ANATAFUTA KAZI YA UTANGAZAJI

Ni kijana wa kitanzania ana talent ya utangazaji anatafuta kazi kwa radio station yoyote itakayopenda kumchukua,kwa mawasiliano tembelea ukarasa wake wa facebook rajabu sultany au simu ya mkononi (0712332215) anauwezo wa kuongea kingereza na kiswahili kwa ufasaha anauwezo wa kutengeneza matangazo,ufahamu mzuri wa muziki na mpira

BWANA MISOSI NA TOP.C KUMTOA MKONGWE RUWA

Ruwa na Urembo wako Bonge la ngoma nimelifanyia studio za Huruma rec, chini ya producer Endru music nimemshirikisha kaka yangu Bwana misosi na ndugu yangu TOP C ikotayari pia natarajia kuifanyia video kwa Jefu kuna mitikasi flani namalizia ikikamilika naifanyia kichupa Mkongwe Ruwa akiongea na THE FRESH 2012

WASTARA SAJUKI AWASILI SALAMA NCHINI INDIA-FROM DINA MARIOS

Jana nilipata meseji ifuatayo kutoka kwa Wastara...Habari ndugu yetu mpendwa tumefika salama tunashukuru Mungu.Nimechelewa kupata line ndio maana nimechelewa kuwasiliana na wewe.  Nikamjibu ...Nafurahi kusikia mmefika salama mmeshaenda hospitali direct? hospital inaitwaje?hatua za awali madaktari wanasemaje? Akanijibu ...Inaitwa Saifee iko Mumbai na huku wamemrudia tena vipimo ili kujua waanzie wapi.Ila dada kuna tatizo limetokea huko nyumbani Tanzania  kuna matapeli wanaifata familia huko na kujifanya wao ni waganga wanataka kumtibia Sajuki.Wanataka wapewe ml 3.5  wamuopoe Sajuki maana kalogwa na mtu aliyemzulumu.Na kiukweli sisi hatujawahi mzulumu mtu.Wapo wengi hao wanaisumbua familia kweli toka tumeondoka naomba uwakanye kupitia kipindi waache hiyo tabia si nzuri wanatukwaza sana. Nikamjibu .....sawa dada usijali i will adress hiyo ishu kama wakisikia watajua wameshtukiwa.Haya kila la heri tutazidi kuwasiliana. Akajibu sawa asante dada! Chanzo

CHU CHU CHU YA BRIDER KHAN YAJA KUZIPOTEZA ZILIZO TANGULIA

Nimeamua kubadilika ili niende sawa na nyakati mimi hua nafanya kile mashabiki wanaitaji nimeamua kuja na mduara ili mashabiki wangu waendelee kupata ladha tofauti kutoka kwangu unajua mimi mkali na mashabiki wanalijua ilo so ata nikitoka na mchiriku bado naamini watanipokea kwa mikono miwili! chu chu chu nimeifanya katika studio ya HURUMA REC, na predudher Endru music nimemshirikisha ndugu yangu jonxon wa mama jojo ngoma imesimama watu wangu wakae mkao wakula Brider khan akiongea na safu hii leo mapema alipotembelea OFISI za Thefresh2012  ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka hapa mkoani tanga

Will Smith na Jay-Z wamuunga mkono Obama kuhusu ndoa za jinsia moja

Jay-Z na Will Smith wameunga mkono mawazo ya Barack Obama kuhusu kusupport ndoa za jinsia moja nchini Marekani. Will alisifia tamko la Obama kuwa ni la kijasiri katika mwaka wa uchaguzi nchini Marekani. "Kama mtu yoyote akipata mtu wa kuwapenda na kuwasaidia katika kitu hiki kigumu kiitwacho maisha, ntamuunga mkono kwa namna yoyote"alisema Will alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mjini Berlin.Kwa upande wake Jay-Z anaamini kuwa wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kuwa na haki ya kuoana. "Nadhani ni jambo la haki kufanya.... hata kama itamnyima kura ama la. Nimekuwa nikifiria hiki ni kitu kilichokuwa bado kinairudisha nyuma nchini" alisema Jigga. "Kile watu hufanya majumbani mwao ni suala lao wenyewe na unaweza kuchagua kumpenda yoyote unayempanda" Haina tofauti na ubaguzi wa watu weusi. Ni ubaguzi wa wazi" . Tamko hilo la Barack Obama limepokelewa kwa hisia tofauti Marekani na kwingineko duniani huku wengine wakimpi

Sababu ya Alicia Keys kumuita mwanae Misri (Egypt)

Siku chache kabla ya Mother’s Day Alicia Keys alihojiwa kwenye talk show iitwayo  ‘The Conversation’ inayotayarishwa na Demi Moore na mtangazaji akiwa Amanda de Cadenet. Waliongea mengi kuhusu maisha yake kama mama, umbo lake baada ya kuzaa, kunyonyesha na sababu iliyomfanya amuite mwanae Misri. “Well, Misri ilikuwa safari muhimu katika maisha yangu” Alisema Alicia. Ilikuja katika pointi ambayo nilikuwa nimefanya kazi mno bila kupumzika na sikuwa na idea yoyote kuhusu kuchukua likizo ya kweli na ilikuja katika muda huo ambao niliihitaji.  Hivyo nilipoenda, ilinipa nguvu sana, ikanifungua macho, safari ya kihistoria, yenye nguvu na experience ya pekee iliyonifanya niipende Misri.  Alicia, Demi na Amanda Hivyo  ulipokuja wakati wa kumpa jina mtoto wetu, nililipenda, wote tulilipenda na tuliamua miezi kadhaa hata kabla hajazaliwa” Egypt na baba yake Swizz Beatz Kuhusu kwanini alienda peke yake nchini Misri alisema “Muda huo nilihitaji sana kwenda

Jay-Z To Launch 'Made In America' Music Festival

Hip-Hop mogul Jay-Z is slated to appear in Philadelphia later today (May 14), where he will announce the new Made in America Festival. The rapper will supposedly make the announcement with Mayor Michael Nutter later today, in front of the Philadelphia Art Museum.