Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2013

HICHI NDICHO KIAMA CHA WAUZA UNGA TANZANIA..SASA KIFUNGO CHA MAISHA NO FAINI

Serikali imependekeza marekebisho ya sheria ya kudhibiti dawa za kulevya itakayotoa hukumu ya kifungo cha maisha na kufuta kipengele kwenye sheria ya sasa kinachompa mshtakiwa nafasi ya kulipa faini. Sheria iliyopo sasa ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 1995 (Sura ya 95, Ibara ya 16) inasema, endapo mtu atakamatwa kwa kosa la kumiliki, kusafirisha, kuzalisha au kutengeneza mashine ya dawa za kulevya, atahukumiwa kifungo cha maisha jela au kulipa faini ya Sh10 milioni. Hatua hiyo inakuja wakati idadi ya Watanzania wanaosafirisha, kuzalisha na kutumia dawa hizo ikiongezeka hapa nchini. Pamoja na mapendekezo hayo, wadau mbalimbali wamesema kufanyika kwa maboresho hayo hakutasaidia kupambana na tatizo lililopo hivi sasa, ikiwa maadili ya wananchi na viongozi yaliyoporomoka hayatarekebishwa. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Kitila Mkumbo alisema sheria yoyote itakayowekwa haiwezi kuwa ‘mwarobaini’ wa kutibu tatizo la dawa za kulevya hapa nchini ka

CHELSEA NA SPURS LEO MCHANA WA LEO

White Hart Lane leo kutawaka moto wakati Tottenham itataka kuendelea kujikita kileleni wakiwa na alama sawa na majirani zao wengine wa London Arsenal. Itawabidi kuifua vilivyo Chelsea, Chelsea wao wataingia katika mchezo huu wakitafuta pointi tatu muhimu ili kuendeleza moto wa kutoa vichapo waliouanzisha hivi karibuni. Andre Villas-Boas alikua meneja wa Chelsea na kwa sasa anaikochi Spurs. Jose Mourinho yeye ni meneja wa Chelsea - wote ni raia wa Portugal lakini ni kama chui na paka kwa sasa. Hakuna maelewano kati yao ingawa wameshawahi kufanya kazi pamoja. Beki wa kushoto Danny Rose anatarajiwa kurudi dimbani baada ya kupona jeraha la dole gumba kwa Spurs, ilhali Chelsea watasubiri kuona kama Ramires takua fiti, na balaa jingine ni kwamba Marco van Ginkel yeye atakua nje kwa takribani miezi sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti. MUDA: 2:45 PM - Tottenham Hotspur vs Chelsea TOA MAONI YAKO NA SHARE HII KAMA NI MWANA CHELSE

Mbeya yavamiwa na kigoma cha Coastal

 Shamrashamra zikianza katika mitaa ya Uyole leo asubuhi. Mashabiki wa Coastal Union wakiwa katika stand kuu ya Mbeya. Hapakutosha leo mjini Mbeya.  Tofauti ya mashabiki wa Coastal Union na timu nyingine ni swala, hapa mashabiki ambao walikuwa wakitoka Tanga walishuka eneo la Mdaula kupata swala ya Ijumaa jana mchana. Mashabiki wa Coastal Union wakiwa hotel waliyofikia jijini hapo. Shabiki wa Coastal Union Maarufu anaekwenda kama "Nyang'au Dungumaro akiwa katika mishe mishe ndani ya Jiji la Mbeya. Mwenyekiti wa K/Hamasa na Ushangiliaji Miraji Wandi akiwa na Mjumbe wa K/Tendaji ya Coastal Union Ndg. Salim Amir (Legend) pamoja na mshauri Mkuu wa Rais wa Coastal Union Ndg. Salim Bawazir wakiwa ndani ya Jiji la Mbeya. COASTAL UNION 28/09/2013 MBEYA - TANZANIA

RATIBA JUMAMOSI | Barclays Premier League | MASAA YA KIBONGO

2:45 PM - Tottenham Hotspur vs Chelsea 5:00 PM - Aston Villa vs Manchester City 5:00 PM - Fulham vs Cardiff City 5:00 PM - Hull City vs West Ham United 5:00 PM - Manchester United vs West Bromwich Albion 5:00 PM - Southampton vs Crystal Palace 7:30 PM - Swansea City vs Arsenal SHARE HII NA TUELEZE TUKUPOSTIE YA LIGI GANI?

magazetini ya leo September 26 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Breaking News :

Watu 2 wamefariki dunia papo hapo eneo la Lugalo jeshini jijini DSM baada ya bajaj waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori.Inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Bajaj kulipita gari lilikuwa mbele yake. SOURCE:ITV Tanzania

agazeti ya leo September 25 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .