Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2013

UHAI CUP FINAL GAME 2013 NI COASTAL UNION vs DAR YOUNG AFRICANS

UWANJA: CHAMAZI STADIUM TAREHE: 1st ,DECEMBER 2013 MUDA: 03:00PM Coastal union iliingia hatua ya fainali baada ya  kuifanyia kitu mbaya Azam fc kwa kuichapa 1-0 ,wakati Yanga waliigaragaza Mtibwa Sugar  kwa jumla ya goli 3-1. Kila Heri vijana wetu wa Coastal Union.

DownLoad Na Sikiliza Ngoma Mpya Ya Belle 9 - Wanitaka

Wanitaka ndio ujio wa ngoma mpya kutoka kwa msanii Belle 9 ambapo ngoma yake ya mwisho kuachia ilikuwa ni Listen ambayo video yake ilifanywa na Director Nisher. Isikilize ngoma hii hapa  

WASTARA ATAHADHARISHWA KUHUSU MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE , YADAIWA MPENZI WAKE MPYA AMEKUBUHU KWA TABIA HIYO HADI WANAWAKE WANAMKIMBIA, YASEMEKANA ALIFUNDISHWA NA ANT LULU WALIPOKUWA WAPENZI

Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano. Habari za uhakika zilitua ndani ya ofisi  zilizopo Mwananyamala Komakoma zilisema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi na maumbile   tangu akiwa mdogo. Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara wame makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu. Chanzo chetu kiliendelea kuilza Xdeejayz kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond ana

DownLoad Na Sikiliza Ngoma Mpya Ya Ally_nipishe_ft_AT_kwea_pipa_binadam_produced_by_ras

CHADEMA TANGA YAPONGEZA UAMUZI WA KUVULIWA UONGOZI KATIBU MSAIDIZI

Na Oscar Assenga, Tanga SIKU Chache baada ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (Chadema) kuamua kumvua uongozi ndani ya chama hicho aliyekuwa katibu Msaidizi Zitto Kabwe chama hicho mkoani hapa kimeipongeza hatua hiyo kwa kusema italeta umakini mkubwa kwa viongozi waliobaki. Uamuzi huo ulitolewa kwa mujibu ibara ya 7.7.16 kifungu (V) ambayo inaeleza kuwa kamati hiyo ina mamlaka ya kumwachisha ujumbe wa kamati kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume cha katiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake. Akizungumza na Tanga Raha,Katibu wa Chadema Mkoa wa Tanga,Jonathan Bahweje alisema suala hilo lilipaswa kufanywa na kamati hiyo kwa sababu ni sahihi kwa mtu yoyote anayekiuka kanuni na taratibu za uongozi ndani ya chama hicho. Bahweje alisema hatua ya Zitto kukiri kuwa alikosea na kupewa adhabu ya siku kumi na nne kujitetea kwa kamati kuu ya chama hicho alitumia busara kubwa sana na kuwataka wanachama kuwa na utuliv

DownLoad Na Sikiliza Ngoma Mpya Ya Prince seseme ft flaga [omar omar]

Hichi ndicho alichokisema yule producer aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa Uzinzi

Baada ya juzi kati kuripotiwa habari ya aliyekuwa producer ama mtengenezaji wa vipindi vya Wema Sepetu Chidi Mohamed kufukuzwa kazi kutokana na kulitumia gari la kampuni kama sehemu yake ya kuvunjia amri ya sita na wadada wa mjini, hatimaye katika pitapita zetu za mtandaoni tuliweza kukutana na kauli ya producer huyo akizungumzia habari hiyo ya yeye kufukuzwa kazi kwenye kampuni ya Endless Fame ya wema sepetu. Chidi mwenyewe anasema kuwa habari hizo si za kwel na ni kwamba wote walioandika wamepanga kumchafua tuu kwa kuogopa kuwa anaweza kuyaniika mambo mazito yanayoendelea huko endless Fame Kwa mujibu wa chidi anasema kuwa yeye ameondoka kwenye Kampuni hiyo siyo kwa sababu ya uzinzi ngani ya gari kama ilivyoripotiwa bali ni kutokana na sababu hizi kuu mbili. 1 .  Ameona hamna jipya na wala hamna maendeleo yoyote ndani ya Kampuni hiyo ndio maana ameamua kuondoka 2.   Wafanyakazi wa Endless Fame hawalipwi kabisa ndio maana yeye akaamua kujitoa kwani anafanya kazi bure na pia

Hichi ndicho alichokisema yule producer aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa Uzinzi

Baada ya juzi kati kuripotiwa habari ya aliyekuwa producer ama mtengenezaji wa vipindi vya Wema Sepetu Chidi Mohamed kufukuzwa kazi kutokana na kulitumia gari la kampuni kama sehemu yake ya kuvunjia amri ya sita na wadada wa mjini, hatimaye katika pitapita zetu za mtandaoni tuliweza kukutana na kauli ya producer huyo akizungumzia habari hiyo ya yeye kufukuzwa kazi kwenye kampuni ya Endless Fame ya wema sepetu. Chidi mwenyewe anasema kuwa habari hizo si za kwel na ni kwamba wote walioandika wamepanga kumchafua tuu kwa kuogopa kuwa anaweza kuyaniika mambo mazito yanayoendelea huko endless Fame Kwa mujibu wa chidi anasema kuwa yeye ameondoka kwenye Kampuni hiyo siyo kwa sababu ya uzinzi ngani ya gari kama ilivyoripotiwa bali ni kutokana na sababu hizi kuu mbili. 1 .  Ameona hamna jipya na wala hamna maendeleo yoyote ndani ya Kampuni hiyo ndio maana ameamua kuondoka 2.   Wafanyakazi wa Endless Fame hawalipwi kabisa ndio maana yeye akaamua kujitoa kwani anafanya kazi bure na pia

Happy birthday mtoto mzuri Leticia Kennedy !!!!!!

It must have been a rainy day when you were born, but it wasn't really rain, the sky was crying because it lost his most beautiful angel... happy birthday dear friend

MSIKILIZE ROGER MORE AKIFANYA YAKE HAPA!

Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...  Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje.. Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa. Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la ku

Mataifa ya cecafa tayari kwa michuano

Mashindano ya GOtv Cecafa Senior Challange yatang’oa nanga siku ya Jumanne huku timu 12 zikishiriki kwenye mashindano hayo yanayo husisha timu kutoka kanda ya za Afrika Mashariki na  Kati. Makocha wa timu zote wamewaita kambini wachezaji wao bora wakiwemo wale wanaocheza ugenini ili kuongeza nafasi zao za kushinda kombe hilo. Mechi zitachezwa katika miji ya Nairobi, Kisumu, Nairobi na Machakos huku serikali za wilaya zikitoa udhamini na kushawishi kumbi ambapo mechi hiyo itaandaliwa- kwa kurejelea mashindano ya vilabu bingwa ya mwaka huu yalioandaliwa katika miji ya darfur na kusini mwa kordofan nchini sudan.Hela pia zitatolewa kama zawadi zimepangiwa ambapo kitita cha dola 100,000 zitagawanywa kati ya washindi watatu bora na hii ni baada ya kampuni ya Gotv kutoa udhamini wa dola 125,000 za kimarekani. Mashindano ya cecafa yamesalia kuwa chanzo cha furaha katika soka haswa kwa mashabiki wa eneo la afrika magharibi na kati haswa ikizingatiwa kuwa timu kutoka eneo hili ha

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Shabiligoa ft sam bode zigizaga

20 wauawa kwa shambulio Somalia

Moja ya mashambulio nchini Somalia Karibu watu ishirini wameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga kwenye kituo cha polisi nchini Somalia. Shambulio hilo limetokea katika mji wa Beledweyne karibu na mpaka na Ethiopia. Mashuhuda wameiambia BBC kuwa gari lilipiga lango kuu la kuingia kwenye jengo la polisi na kulipuka kabla ya watu wenye silaha kushuka na kushambulia jengo hilo kwa risasi. Taarifa zinasema wengi waliofariki katika shambulio hilo ni maafisa wa polisi. Wapiganaji wa kiislamu wa Al Shabaab wamekiri kuhusika na shambulio hilo. Mwezi uliopita wapiganaji hao wa Al Shabaab pia walikiri kuhusika na shambulio jingine ambapo watu 16 waliuawa katika hoteli moja maarufu mjini Mogadishu.Mwandishi wa habari wa BBC nchini Somalia Mohammed Moalimu amesema kituo hicho cha polisi kipo karibu na ngome ya majeshi ya Umoja wa mataifa yaliyopo nchini Somalia AMISOM. Maafisa wa polisi nchini Somalia wamesema mlipuko huo ulikuwa ni mkubwa na umesababisha majeruhi kadhaa. "

WANANCHI KOROGWE WAUKATAA MRADI WA UMWAGILIAJI

Korogwe WANANCHI wa Kijiji cha Mswaha Darajani Kata ya Mswaha wilayani Korogwe mkoani Tanga wamekataa kuupokea mradi wa umwagiliaji wa kijiji hicho kwa madai ya kujengwa chini ya kiwango.   Hatua ya wananchi hao waliiweka bayana katika mkutano wa kijiji hicho  ambao ulifanyika Novemba 7 mwaka huu katika mradi huo uligharimu zaidi ya milioni 42 kuanzia hatua za awali mpaka mwisho.   Kilichopelekea mradi huo kukataliwa na wananchi hao mbele ya diwani wa Kata hiyo,Aweso Omari ambaye aliambatana na Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Paulo Mzava kilitokana na ukuta wa kukingia maji uliojengwa kumepasuka na hivyo kushindwa kutumika licha ya kugharimu fedha hizo.   Akizungumza katika mkutano hao mmoja ya wananchi hao ,Juma Mussa alisema wanamuomba mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuwapelekea wataalamu ili waangalie jinsi mradi huo ulivyohujumiwa ikiwemo kuchukuliwa hatua wahusika.      “Ninaamini endapo Mkurugenzi wa Halamshauri atakuja kuangalia mradi huo yatapatikana mafaniki

Mashine za kodi TRA ni wazo lililochelewa

Mamlaka ya Mapato Tanzania iko katika msuguano na wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na mamlaka hiyo kuanzisha mfumo mpya wa utoaji stakabadhi za kielektroniki kwa kutumia mashine ziitwazo EFD. Ugomvi mkubwa wa wafanyabiashara hao unatokana na bei inayodaiwa ni kubwa ya kununulia mashine hizo, inayofikia Sh800, 000 kwa kila moja. Madai mengine ni kasoro za kiufundi za mashine hizo na kitendo cha TRA kutumia mzabuni mmoja kuingiza mashine hizo. Jana mvutano huo ulipiga hodi katika eneo maarufu kibiashara la Kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo wafanyabiashara waligoma kufungua maduka kama ambavyo wamekwishafanya wenzao katika mikoa ya Mbeya na Morogoro. Pamoja na ufafanuzi wa TRA kwamba baada ya majadiliano na wafanyabiashara bei za mashine za EFD zimepungua hadi Sh600, 000 kwa kila moja, bado muafaka kamili haujafikiwa.Tunaafikiana na ushauri unaotolewa na TRA kwamba mvutano huo umalizwe kwa amani kwa njia ya mazungumzo na majadiliano baina ya mamlak

Bunge lakataa kubariki ‘Division 5’

Dar es Salaam.  Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, imevikataa viwango vipya vya alama za ufaulu kwa elimu ya sekondari vilivyotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu na kutaka utaratibu na alama zilizotumika mwaka jana, zitumike kupanga matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa mwaka huu. Serikali ilitangaza utaratibu mpya wa alama za Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita kwa kufuta Daraja la Sifuri na kuleta Daraja la Tano. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stephen Ngonyani  alisema jana kuwa kamati hiyo ilichukua uamuzi huo kwa kuwa pamoja na udhaifu ulio kwenye alama hizo, kamati yao haikuhusishwa katika mchakato wa kuandaa alama hizo.  “Mwenyekiti wangu (Margaret Sitta) alisema kile hakiwezekani, kuna viwango ambavyo wameleta havipo kwenye nchi nyingine duniani, tumewaambia wakavifanyie kazi walete tena,” alisema mbunge huyo wa Korogwe Vijijini, ambaye ni maarufu zaidi kwa jina la Profesa Maji Marefu. Ngonyani alisema waliagiza watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafu

CINDY RULZ:- WASANII WA KIKE WANAOIMBA RNB WAMEANZA KUELEWEKA LAKINI NA HIPHOP HAITOCHUKUA MUDA KUELEWEKA BONGO

Rapper toka Bongo  CORRINE MARY  a.k.a  CINDY RULZ  ametoa pongezi na shukurani zake za dhati kwa wasanii wenzake wa kike ambao humpa ushirikiano kwa kuzisambaza nyimbo zake mpya mara kwa mara katika mitandao ya kijamii na media mbalimbali. Akipiga Stori na kipengele cha Chumba Cha Sindano kupitia kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM Mbeya, hitmaker huyo wa Unstoppable, Party ya Cindy na Lets wait  CINDY RULZ  amesema licha ya muziki wa hiphop bongo kuwa na wadau wachache wanaousapoti lakini anatambua fika haitochukua muda muziki huo kuteka mashabiki wengi kutokana na kufuata misingi. “Sasa hivi nachoshukuru Mungu ni kwamba wako more supportive wote female rappers ambao nawafahamu kawa wapo  CHIKU K  kuna  DIVA wote tumekuwa response, maana nakumbuka hata nilipotoa hii Cover, isitoshe ali-post kwenye mitandao yake ya kijamii,  CHIKU K  alikuwa anaandika Status yaani ndo iko hivyo. Kwa sasa hivi tupo pamoja zaidi tunaandaa kitu kwa pamoja wote sisi sote wanne kwa

Biashara ya Uchawi Tanzania Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi

Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za  1. Tanga ndio kinara 2. Lindi unafuatilia 3. Dar es Salaam 4. Mtwara 5. Tabora 6. Kigoma 7. Mwanza Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi 1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara 2. Ruvuma inafuatialia 3. Mbeya 4. Singida Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi 1. Kilimanjaro inaongoza 2. Morogoro inafuatilia 3. Kagera Wateja wengine wa wachawi 1. Wafanyabiashara 2. Wasanii 3. Kina mama wa nyumbani 4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

DOWNLOAD | SIKILIZA IZZO B _ HAPPY BIRTHDAY NGWAIR{Audio}

Msanii anae wakilisha pande za Mbyea City Izo Biznes ameachia wimbo wa kusheherekea siku ya kuzaliwa ya marehemu Ngwair Nov 16 ngoma imetengenzwa na producer mswaki inaitwa Happy Birthday Ngwair download na sikiliza hapa

BREAKNG NEWS, MKE WA MSANII DAR JOHN WA KUNDI LA WAGOSI WAKAYA AFARIKI DUNIA HIVI PUNDE!!!

Habari zilizotufikia hivipunde zinasema mke wa msanii dar john amefariki dunia bado hajafaamika niwapi na taratibu nyengine zitakuaje>>>>>>> Kwa habari zaidi endelea kutembelea blog hii kwa Habari zaidi>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

MICHUANO YA CECAFA 2013 NI 27 NOV,

GROUP A Kenya Ethiopia Zanzibar South Sudan GROUP B Tanzania  Zambia Burundi Somalia GROUP C Uganda Rwanda Sudan Eritrea

WACHEZAJI KIKAPU TANGA WAOMBA MSAADA WA KUIPELEKA TIMU MBEYA.

Mkoa wa Tanga, mabingwa watetezi wa michuano ya taifa ya kikapu (Taifa Cup) kwa mwaka jana, bado hawajathibitisha ushiriki wao katika michuano ya mwaka huu kutokana na ukata wa fedha.  Habari zinasema mpaka sasa timu yao inafanya mazoezi bila matumaini ya kuelekea mjini Mbeya itakapofanyika michuano hiyo kwa mwaka huu mwishoni mwa mwezi wa 11. “Michuano hii ya kikapu taifa kwa mwaka jana ilifanyika mkoani hapa (Tanga), hivyo ikawa rahisi kwetu kuweka kambi na kupata mahitaji mengine, ndiyo maana tukaibuka mabingwa, lakini mwaka huu hali katika kambi si nzuri kwani bajeti inatubana mpaka sasa hatujui mustakabali wetu,” afisa  wa timu hiyo alisema. Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Tanga (TRBA), Carlistus Zakaria timu hiyo inahitaji kiasi cha Sh mil 11, ili kuweza kusafiri mpaka Mbeya. Vilevile kiasi hicho cha fedha kitaweza kuhudumia kambia kwa malazi na chakula pamoja na vifaa vya michezo kwa muda wote watakaokuwa Mbeya. “Timu yet

MSANII SAYNAG AELEZA KUWA KIFO CHA MAMA YAKE NDIO CHANZO CHA UKIMYA LAKINI KWA SASA YUPO MBIONI KURUDI KATIKA GEMU(AUDIO)

Saynag katika pozi. Hitmaker wa Inatosha, Nafsi inauma  SAYNAG ABRIHHAN  a.k.a  SAYNAG  amesema sababu za ukimya wake katika gemu umetokana na matatizo ya kifamilia baada ya kufiwa na Mama yake mzazi. Akipiga stori na  Chumba Cha Sindano  kupitia Kipindi cha  Kali za Bomba  cha Kituo cha redio  Bomba FM Mbeya,   SAYNAG  ameeleza kuwa “kuna watu wanajua mimi nilifikwa na matatizo na msiba, kuna wengine hawajui hilo suala yaani yote hayo ni kutokana na matatizo ambayo marehemu mama yangu alikuwa nayo. Kwanza alikuwa anaumwa sana kwa hiyo nilikuwa sina muda wa kuingia studio kurekodi, kichwa change chote kilikuwa kina muwaza kwanza mama yangu, nilikuwa nataka apate afueni kwanza halafu niendelee na kazi zangu lakini haikuwa riziki kwa hiyo pia nikazindi kuchanganyikiwa kwamba nimemkosa pamoja na jitihada zangu, sikuwa na muda wa kufikiria kutoa nyimbo kwa wakate ule, sikuwa na muda wa kufikiria show, siku na muda wa kufikiria chochote zaidi ya kile kitu ambacho kilichokuwa kina