Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2017

Andrew charles umenishindia.mp3

MIMI SIRINGI ILA MAZINGIRA NINAYOFANYIA KAZI KWA SASA NDIYO YANA NIFANYA NAONEKANA KUWA NARINGA

  Andrew music afunguka jinsi mazingira yanavyombana mpaka baazi ya wasanii kumchukulia kama ni producer mwenye maringo Akipiga stori na c.e.o wa blog hii producer Andrew alifunguka ya moyoni na kuweka wazi kua yeye sio mtu wamaringo ila mazingira yake ya kazi ndio kikwazo chakutokua huru kufanya kazi na wanaotamani kufanyanae kazi Pia producer andrew amesema kua yeye ni producer mwenyeuwezo mkubwa na anaweza kufanya kazi na msanii yeyote mwenye kipaji Producer Andrew aliongeza kua mwaka 2017 ni mwaka wa mapinduzi kwake ya kiburudani zaidi Yah!soon mapinduzi makubwa yatakuja. Nipo kwenye hatua za mwisho kujenga studio yangu kwa ajili ya kuinua sanaa yetu ya Tanga. Unajua hapa Huruma nashindwa kufanya kazi na watu wengi wa muziki wetu wa kizazi kipya sababu ya nature ya studio Watu wanasema sana kitaa kuwa naringa wanashindwa kujua kuwa pale sina mamlaka ya kujiamulia mambo Ndio maana nikaamua nitengeneze studio ili nikidhi kiu yao ya kufanya kazi na mimi kikamili

Matonya - Hakijaeleweka.mp3

Tom d ft gallatone talaka prod nywele beatz.mp3