Skip to main content

Posts

MATEKE YA MGAMBO YAWAMALIZA AZAM KWA BAO 2 - 1

DK 90: Simba 0- 1 Toto FULL TIME   DK 83: Simba wanafanya mabadiliko anatoka Kazimoto anaingia Edward Christopher.  Kutoka Tanga - Azam 1-2 Mgambo JKT    DK 74: Toto inapata bao la kuo ngoza linalofungwa na Mussa Said akiunganisha krosi ya Mohamed Jingo. Simba 0-1 Toto.   DK 72: Mrisho Ngassa anaenda benchi na nafasi yake inachukuliwa na Haruna Chanongo. Simba 0 - 0 Toto   DK 8 4: Issa Kambili anaipatia Mgambo bao la pili dhidi ya Azam   DK 62: T oto inafanya mabadiliko anatoka Kheri Mohamed anaingia Mohamedi Hussein   DK 55: Seleman Kibuta wa Toto anakosa bao la wazi baada ya sh uti lake kupanguliwa na kipa wa Simba William Mw eta. Kutoka Tanga - DK ya 75 Azam 1-1 Mgambo DK 50 Mrisho Ngassa anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Toto. Kipin di cha pili kinaanza hapa uwanja wa taifa Simba 0-0 Toto   Kutoka Tanga hivi ni dakika ya 10 kipindi cha pili Azam 1-1 Mgambo.   Mpira ni mapumziko Simba 0 - ...

COASTAL UNION KUITISHIA YANGA MBWA.....

  Hili jibwa yeboyebo aka sunche linawahusu........ tafuna maungoni hadi ndala zao daadeki.....!!!!

Basi la Yanga lapigwa mawe, Msuva ajeruhiwa

Basi la Yanga   Kwa ufupi Alisema kuwa baada ya kumfanyia uchunguzi Msuva, ikaonekana kuwa hakuumia sana kiasi cha kushindwa kucheza mechi ya kesho dhidi ya Coastal Union iliyopangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani.  MSAFARA wa Mabingwa wa Soka wa Afrika Mashariki na Kati, Yanga umevamiwa na wahuni wanaosadikiwa kuwa ni mashabiki wa timu ya Coastal Union na mchezaji wake chipukizi, Simon Msuva amejeruhiwa. Tukio hilo limetokea jana saa 5.00 asubuhi wakati kundi kubwa la wahuni waliojikusanya maeneo ya Michungwani na Kabuku kupiga mawe basi la Yanga walilopewa hivi karibuni na Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL). Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo, Seif ìMagariî Ahmed alisema kuwa wakiwa wametulia katika gari hilo, ghafla walisikia mawe yakipiga basi lao ambayo yalivunja kioo cha basi hilo na kuzua tafrani. Alisema kuwa kutokana na hali hiyo, wachezaji walipatwa na hofu na kuanza kuhangaika, huku jiwe l...

YANGA YATUA TANGA TAYARI KUIVAA COASTAL UNION KESHO......

Kikosi cha Young Africans Sports Club Kocha mkuu wa timu ya Young Africans Sports Club, Mholanzi Ernie Brandts amesema kikosi chake kipo tayari kuikabili timu ya Coastal Union katika mchezo wa mwisho wa kumaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom utakaofanyika siku ya jumapili katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Akiongea na mtandao wa klabu  www.youngafricans.co.tz  leo asubuhi katika mazoezi yaliyofanyika shule ya sekondari Loyola, amesema wachezaji wake wote wapo safi, wana ari ya mchezo na ushindi, hivyo anaamini mchezaji yoyote atakayempanga atafanya vizuri.   Wachezaji wangu wapo fit wote, nadhani soka waliolicheza siku na Azam lilionekana, hizo ni dalili tosha kuwa wachezaji wanaelewa mafunzo yangu, hivyo naamin siku ya jumapili vijana wangu wataibuka na ushindi mzuri hali itakayotupelekea kuweza kuendelea kushika usukani wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara amesema 'Brandts' Coastal Union inayoshika nafasi ya nne katika msimo...

Serikali kitanzini hoja binafsi ya Zitto

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto) akimwonyesha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk David Mathayo baadhi ya ushaidi aliokuwa nao wa hoja yake binafsi inayoitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya watanzania walioficha fedha haramu nje ya nchi, mjini Dodoma. Picha na Edwin Mjwahuzi     NGUVU za Serikali za kutaka kuifuta hoja binafsi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto ya kuitaka Serikali kuchukua hatua dhidi ya Watanzania walioficha fedha haramu nje ya nchi, jana zilishindwa baada ya wabunge kadhaa kumgomea Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kufanya hivyo. Dalili za Serikali kutaka kuzima hoja hiyo zilianza baada ya Jaji Werema kusimama na kutoa mapendekezo ya kufuta vipengele muhimu. Hatua hiyo ilizusha mvutano mkali, huku baadhi ya wabunge wakisema Serikali inataka kuifuta hoja hiyo muhimu kwa mustakabali wa taifa. Mapendekezo ya Werema Katika mapendekezo yake, Jaji Werema alipend...

NI SOKA TU JIJINI TANGA AZAM VS MGAMBO

Ni wikiend njema kwa wanasoka walioko jijini tanga ambakoi juma mosi na juma pili ni siku ya kabumbu litakalo unguruma katika kiwanja cha mkwakwani stadium Hivyo ndio vkos vitakavyo umana siku ya leo  ndani ya mkwakwani stadium

COASTAL UNION YANG'ARA NYUMBANI YAIBAMIZA POLISI MORO MOJA BILAMAJIBU

  Fulltime-Mkwakwani Stadium Tanga COASTAL UNION1-0 POLISI MOROGORO Mfungaji ni Daniel Lyanga Next match & last league MAtch COASTAL UNION VS YOUNG AFRICANS(YANGA) Venue-Mkwakwani Stadium