Skip to main content

Posts

AJALI ... BASI LA BURUDANI LAPATA AJALI MBAYA LIKITOKEA KOROGWE KUELEKEA JIJINI DAR,WATU ZAIDI YA 12 WAHOFIWA KUFARIKI NA MAJERUHI ZAIDI YA 50.

Basi la Burudani leo limepata ajali  kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni , Imeripotiwa mpaka sasa watu zaidi ya 12 wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi. Hospitali ya wilaya ya Korogwe. Majeruhi wakipatiwa matibabu. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu. Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi. Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi. Wananchi wakiwa eneo la Hospitali. PICHA ZOTE KWA HISANI YA MKUU WA WILAYA YA KOROGWE, MRISHO GAMBO.

DownLoad Na Sikiliza Ngoma Mpya Ya Ben Pol Ft. Linah - Yatakwisha

BLANDINA LUKINDO aka B WAUKWELI MKALI WAMIPASHO ANAE LITIKISA JIJI LA TANGA

Nimtangazaji wa kipindi cha KASHDA ZAPWANI Kinachoruka kila siku Za wiki juma tatu hadi ijumaa 16;00pm -19;00pm  kupitia  100.6 BREEZ FM Mhz hapa jijini tanga bofya hapa kusikiliza  kipindi live online kilasiku www.breezfmredio.co.tz  Unachezea B wewe ? JOORAILO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!