Skip to main content

Posts

DOWNLOAD YOUNG DEE FT BEN POL - DO IT - MP3.

PICHA: Lowassa Achukua Fomu ya Urais CHADEMA

Edward Lowassa akionesha fomu ya kuwania urais aliyokabidhiwa leo Makao makuu ya Chadema,D ar. Umati wa watu waliojitokeza kumpokea Lowassa wakati akichukua fomu ya urais kupitia Chadema. …Akisaini katika kitabu cha wageni. Mnadhimu Mkuu kambi rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu akitoa yake machache. Lowassa akiwasiri kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Dar leo. Baada ya kuchukua fomu. Mwenyekiti wa Chadema (kushoto) Mhe. Freeman Mbowe Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika leo Makao Makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar . Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema.  ** WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).   Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini...

DOWNLOAD YOUNG KILLER FT MAUA SAMA - DO FOR ME - MP3.

HIVI NDIVYO MWENYEKITI MPYA WA COASTAL UNION,DR.AHMED TWAHA ALIVYOFURAHIA USHINDI WAKE NA WANACHAMA WA COASTAL UNION

MWENYEKITI WA KLABU YA COASTAL UNION,DR.AHMED TWAHA AKIWA NA WANACHAMA WA KLABU HIYO MARA BAADA YA KUMALIZIKA UCHAGUZI MKUU AMBAPO ULIMCHAGUA KUONGOZA KLABU HIYO MWENYEKITI MPYA WA COASTAL UNION DR.AHMED TWAHA KUSHOTO AKISHIKANA MKONO NA MAKAMU MWENYEKITI WAKE,SALIM AMIRI KULIA NI MJUMBE WA KAMATI YA COASTAL UNION MWENYEKITI MPYA WA COASTAL UNION DR.AHMED TWAHA AKINYANYULIWA JUU NA WANACHAMA WA TIMU HIYO MARA BAADA YA KUIBA KIDEDEA KWENYE UCHAGUZI HUO MWENYEKITI MPYA WA COASTAL UNION DR.AHMED TWAHA AKIFUATILIA MATUKIO YA MKUTANO HUO

Museveni'' atoa wimbo mpya wa kampeni

Wimbo mpya wenye sauti ya rais Museveni unasikilizwa na waganda Wimbo mpya umetolewa nchini Uganda mwimbaji akiwa rais wa Uganda Yoweri Museveni . Lakini bado bado haijafahamika wazi ikiwa yeye binafsi ndie aliyeutoa ama alishiriki katika kuutoa. Hata hivyo kuna tetesi kwamba ni wimbo mpya wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao 2016. Sauti bila shaka ni rais Museveni, wimbo unaitwa Yegoma. Maana yake kwa taji --- kama la ufalme. Maneno ya wimbo yanelezea uchungaji wa ngombe , ala za muziki na maisha marefu. Wengi wanahisi wimbo mpya wa unahusiana na kampeni za uchaguzi mkuu wa 2016 Beti ya kwanza inasema (Oruyogo-yongo - orwa Kabale) ikimaanisha usisalimu amri. Katika picha ya Video ya wimbo huo inaonyesha ndege aina ya Kulastara akijaribu kummeza chura, lakini chura anamkaba ndege kooni. Oruyongoyongo ni ndege an...