Skip to main content

BWANA MISOSI NA TOP C, WAJIPANGA KWA MAANDALIZI YA VIDEO YA MKONGWE RUWA

Akipiga stori na thfresh mkongwe ruwa leo hasubui aliipasha kua maandalizi yamefikia mwishoni tayari kuanza safari kuelekea dar, kuungana na bwana misosi pamoja na Top c, ili kukamilisha taratibubu za shughuli iyo mkongwe akiongezea alisema anatarajia mapinduzi katika game ya muziki wa bongo kwani amejipanga vya kutosha ili kuakikisha anawapa kile mashabiki wake wanataka kwani mbali na bwana misosi na Top c, pia watakuepo washikaji zake kibao kama TNG SQUARD, J I mkali aliewahi kushain na ngoma yake kidato kimoja ambae kwasasa anafanya kazizake zamuziki nailrobi nchini KENYA ngoma yangu mpya tayari imeshaanza kufanya vizuri redio za hapa nyumbani na bado naendelea kuisambaza sehemu nyingine na ata nje ya nchi coz, nimesha maliza mazungumzo na mku rugenzi wangu wa machoraa Lilian semfuko ambae anaishi DENMARK kwasasa yupo nchini kwa maa ndalizi ya mwisho pamoja na ndugu yangu antoniyo nugaz, wa cloud's tv. THE FRESH INAKUTAKIA MAFANIKIO KATIKA KAZI ZAKO MKONGWE RUWA

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

Tugumiane tanga flevani 10_00AM-12_00PM 106.1Mhz @mwambaofm_ fm radio tanga