Skip to main content

CHU CHU CHU YA BRIDER KHAN YAJA KUZIPOTEZA ZILIZO TANGULIA

Nimeamua kubadilika ili niende sawa na nyakati
mimi hua nafanya kile mashabiki wanaitaji nimeamua
kuja na mduara ili mashabiki wangu waendelee
kupata ladha tofauti kutoka kwangu unajua mimi
mkali na mashabiki wanalijua ilo so ata nikitoka na
mchiriku bado naamini watanipokea kwa mikono
miwili! chu chu chu nimeifanya katika studio ya
HURUMA REC, na predudher Endru music
nimemshirikisha ndugu yangu jonxon wa mama jojo
ngoma imesimama watu wangu wakae mkao wakula

Brider khan akiongea na safu hii leo mapema
alipotembelea OFISI za Thefresh2012
 ni msanii wa muziki wa
kizazi kipya kutoka hapa mkoani tanga

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa