Skip to main content

THE FRESH 2012 BLOG ILIPOTEMBELEA STUDIO ZA 106.O MWAMBAO FM SAUTI YA TANGA KUPITIA KIPINDI KINACHO SAPOTI MUZIKI WA WASANII WAHAPA JIJINI TANGA TANGA FLAVER KINACHORUKA HEWANI KILASIKU ZA JUMA PILI 16.00 PM - 18.00 PM

Wanao onekana pichani ni dj mkali dj bizo na mtangazaji wakipindi cha TANGA FLAVER dj kiss 1 na saidi shabani wa the fresh blog wakilisongesha jahazi la muziki wa kitanga tanga nakupiga stor na watangazaji wa redio station hiyo ilioko nje kidogo ya jiji la TANGA KANGE TANGA FRESH Thefresh niaje jombaa? tanga flaver aina kwere jombaa karibu 106.0 saidi inimesha karibia kaka nini hasa nia yakuanzisha hiki kipindi cha tanga flaver? tanga fraver kusdio letu nikuwainua wasanii wadogo wanao chipukia hapa jijini tanga mwisho wasiku ndio hao wanao fanya vizuri ata baadhi ya radio station nyingine nchini na inje ya nchi nazani kaka unafaham tayari tanga inawakili shwa na wakali kibao ambao wameanza kufanya vizuri hapa hapa nyumbani saidi ebana kaka haina ubishi coz, ata mimi nimsikilizaji mzuritu wakipindi chenu so nafahamu nini mnachokifanya b't nina swali lakizushi kunako kazi yoyote hakukosekani vikwazo na changa moto je nichangamoto zipi na vikwazo vp mnavyo kutananavyo? tanga flafer kaka ninyingi ila kwavile tumejitolea kutoa burudani basi sisi tuna fanya hivyo Saidi nashukuru kwamapokezi mazuri nilio yapata kutoka kwenu nimefurahi je nakaribishwa tena kutembelea studio zenu? tanga flafer kaka unakaribishwa mda wowote coz, sisi na wewe kazi yetu ni moja yakuakikisha msanii wakitanga anafiki mbali zaidi so karibu tena kaka THE FRESH BLOG ILIPOTEMBELEA STUDIO ZA 106.0 MWAMBAO FM SAUTI YA TANGA

Popular posts from this blog

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com

Sababu ya Alicia Keys kumuita mwanae Misri (Egypt)

Siku chache kabla ya Mother’s Day Alicia Keys alihojiwa kwenye talk show iitwayo  ‘The Conversation’ inayotayarishwa na Demi Moore na mtangazaji akiwa Amanda de Cadenet. Waliongea mengi kuhusu maisha yake kama mama, umbo lake baada ya kuzaa, kunyonyesha na sababu iliyomfanya amuite mwanae Misri. “Well, Misri ilikuwa safari muhimu katika maisha yangu” Alisema Alicia. Ilikuja katika pointi ambayo nilikuwa nimefanya kazi mno bila kupumzika na sikuwa na idea yoyote kuhusu kuchukua likizo ya kweli na ilikuja katika muda huo ambao niliihitaji.  Hivyo nilipoenda, ilinipa nguvu sana, ikanifungua macho, safari ya kihistoria, yenye nguvu na experience ya pekee iliyonifanya niipende Misri.  Alicia, Demi na Amanda Hivyo  ulipokuja wakati wa kumpa jina mtoto wetu, nililipenda, wote tulilipenda na tuliamua miezi kadhaa hata kabla hajazaliwa” Egypt na baba yake Swizz Beatz Kuhusu kwanini alienda peke yake nchini Misri alisema “Muda huo nilihitaji sana kwenda

Tuhuma nzito : Magufuli, Mwakyembe, Lukuvi kufikishwa kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge

Dk John Magufuli   Dar es Salaam.   Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema itawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatuhumu kwa kulidanganya Bunge. Hatua hiyo ilitangazwa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya kumhoji Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Herbert Mrango kuhusu hati ya mashaka waliyoipata kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mwaka wa fedha 2011/2012. Kamati hiyo ilieleza kuwa kwenye Bajeti ya mwaka huo kiasi cha Sh348,075,000,000 fedha za ndani zilizokuwa zimetengwa chini ya fungu lililotajwa kuwa ni la mradi maalumu (Special Road Construction Project) hazikutumiwa kwa malengo yaliyoelezwa bungeni. “Ni vizuri leo uiambie kamati fedha hizi ziliombwa kwa kitu gani na zilitumika kwa jambo gani. Tunajua kwamba