Skip to main content

INTER VIEW YA BRODUCER JB NA THE FRESH 2012

Niaje man jb, fresh ndugu yes naitwa saidi shabani toka thefresh blog jb, aah karibu kaka tupo tuna umiza vichwa saidi, pole sana kaka vp naona umezungukwa na washikaji kibao vp wanakudai kaka ? jb,amna hawa ni wasanii wangu tuko kwenye harakati zakurekodi saidi, he! kaka inamana hunautaratibu maalum wakufanya kazina na wasanii wako kaka? jb, amna upo ila leo nimewaita wengi ili tumalize shughuli kila mmoja achukue kaziyake siunajua watu wanataka laza kitaani saidi, nimekusoma kaka vp unaweza niambia nichangamoto gani unakutanazo kwenye hii kaziyako kaka? jb, ninyingi nikianza kuku chambulia jua litazama ila zaidi zaidi nipale mtu anapotaka kurekodi ile hali bado hajawa fiti kimazoezi au hata mashairi yenyewe hayaeleweki hapo ndio mtihani coz, ukimgomea anakujia juu au kama hatasema hapa kesho utasikia mitaani jamaa anaringa saidi, b't kaka kwani wewe unajali kazi au maneno ya mtu ? jb, dat is wat sup mimi najali kazi ndio maana leo umewakuta jamaa kibao hawa ndio wanajua jb anafanya nini saidi, ningoma ngapi ulizowai fanya wewe mwenyewe ukajiambia hii ni kali zaidi au ata kukutambulisha kunako game ? jb, kiba kakao zinafanya vizuri hapa jijini tusiongee sana kaka nazani wewe mwenyewe unajua jb anafanya nini saidi, fresh ndugu nimefurahi kuongea na wewe ndugu yangu jb, ahsante kaka karibu tena b't naomba usinisahau saidi, usiogope ndugu yangu the fresh ipo kwaajili ya wajanja kama nyinyi so usiogope ........................THE FRESH 2012 ILIPO studio za ELZY REC,

Popular posts from this blog

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com

Sababu ya Alicia Keys kumuita mwanae Misri (Egypt)

Siku chache kabla ya Mother’s Day Alicia Keys alihojiwa kwenye talk show iitwayo  ‘The Conversation’ inayotayarishwa na Demi Moore na mtangazaji akiwa Amanda de Cadenet. Waliongea mengi kuhusu maisha yake kama mama, umbo lake baada ya kuzaa, kunyonyesha na sababu iliyomfanya amuite mwanae Misri. “Well, Misri ilikuwa safari muhimu katika maisha yangu” Alisema Alicia. Ilikuja katika pointi ambayo nilikuwa nimefanya kazi mno bila kupumzika na sikuwa na idea yoyote kuhusu kuchukua likizo ya kweli na ilikuja katika muda huo ambao niliihitaji.  Hivyo nilipoenda, ilinipa nguvu sana, ikanifungua macho, safari ya kihistoria, yenye nguvu na experience ya pekee iliyonifanya niipende Misri.  Alicia, Demi na Amanda Hivyo  ulipokuja wakati wa kumpa jina mtoto wetu, nililipenda, wote tulilipenda na tuliamua miezi kadhaa hata kabla hajazaliwa” Egypt na baba yake Swizz Beatz Kuhusu kwanini alienda peke yake nchini Misri alisema “Muda huo nilihitaji sana kwenda

Tuhuma nzito : Magufuli, Mwakyembe, Lukuvi kufikishwa kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge

Dk John Magufuli   Dar es Salaam.   Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema itawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatuhumu kwa kulidanganya Bunge. Hatua hiyo ilitangazwa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya kumhoji Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Herbert Mrango kuhusu hati ya mashaka waliyoipata kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mwaka wa fedha 2011/2012. Kamati hiyo ilieleza kuwa kwenye Bajeti ya mwaka huo kiasi cha Sh348,075,000,000 fedha za ndani zilizokuwa zimetengwa chini ya fungu lililotajwa kuwa ni la mradi maalumu (Special Road Construction Project) hazikutumiwa kwa malengo yaliyoelezwa bungeni. “Ni vizuri leo uiambie kamati fedha hizi ziliombwa kwa kitu gani na zilitumika kwa jambo gani. Tunajua kwamba