Skip to main content

KAMOYO KANGU KADOGO YA SELE STAR NA MASTER VOICER INATOKA WEEK IJAYO

Wasanii selemani mohamed na mwenzake nasoro voicer wamekwisha kamilisha kurekodi wimbo wao unao kwenda kwajina kamoyo kangu kadago wimbo uo ulio rekodiwa na producer anae sumbua jiji kwasasa J B wa studio inyojulikana kwa jina la ELZY REC, ilioko mitaa ya 4ez jiji TANGA jamaa walipo ongea na the fresh walisema mzigo ukotayari na muda wowote utakua mikononi mwao tayari kuutambulisha kwa hewa wakiongezea walitamba ngoma imesimama kinoma tuna tarajia mapokezi mazuri kwa mashabiki wamuziki huu hapa nyumbani na nnje pia tunafanya mchakato wakuifanyia video na production ya FLACONE PRODUCTION iliopo hapa hapa jiji so watu wetu wakae mkao wakula

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa