Skip to main content

WASTARA SAJUKI AWASILI SALAMA NCHINI INDIA-FROM DINA MARIOS

Jana nilipata meseji ifuatayo kutoka kwa Wastara...Habari ndugu yetu mpendwa tumefika salama tunashukuru Mungu.Nimechelewa kupata line ndio maana nimechelewa kuwasiliana na wewe. 

Nikamjibu...Nafurahi kusikia mmefika salama mmeshaenda hospitali direct? hospital inaitwaje?hatua za awali madaktari wanasemaje?

Akanijibu...Inaitwa Saifee iko Mumbai na huku wamemrudia tena vipimo ili kujua waanzie wapi.Ila dada kuna tatizo limetokea huko nyumbani Tanzania  kuna matapeli wanaifata familia huko na kujifanya wao ni waganga wanataka kumtibia Sajuki.Wanataka wapewe ml 3.5  wamuopoe Sajuki maana kalogwa na mtu aliyemzulumu.Na kiukweli sisi hatujawahi mzulumu mtu.Wapo wengi hao wanaisumbua familia kweli toka tumeondoka naomba uwakanye kupitia kipindi waache hiyo tabia si nzuri wanatukwaza sana.

Nikamjibu.....sawa dada usijali i will adress hiyo ishu kama wakisikia watajua wameshtukiwa.Haya kila la heri tutazidi kuwasiliana.

Akajibu sawa asante dada!

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com