Timu ya Coastal Union ya vijana chini ya miaka 20,Leo itacheza mchezo wa
Kirafiki na Timu ya vijana ya Hapa hapa mkoani Tanga(MKWAKWANI)kwaajili
kujiandaa na mechi za kimataifa za Rolling Stone zitakazofanyika nchini
Burundi kuanzia tarehe. 10/07/2012. Chini ya Kocha Juma Mgunda