Skip to main content

MAONI NA USHAURI KUTOKA KWA MASHABIKI WA CLUB YA COASTAL UNION

Ibrah Ibrahm Jamani ningependa sana kutoa mchango wa mawazo ktk kutaka timu yetu ifanikiwe na ifike mbali.

Hatuna budi kuhakikisha tuna kuwa na timu nzuri kuanzia ngazi ya chini mpaka juu, kweli niwajibu wa viongozi wetu kuhakikisha tunakuwa na timu bora ya u20 ambayo itakuwa ni tawi lakupata vijana ambao watakuwa tegemeo hapo baadae na mfano mzuri nipale tulipo fanikiwa kwa DANI amekuwawa mchezaji mzuri na tegemeo leo hii kwa coastal union

Amakweli M/MUNGU ameibariki TANGA kwa watoto wenye vipaji vya kucheza mpira, viongozi hivi ss mpira huchezwa lakini pesa hutumika lazima mtumie fedha katika kupatikana kwa vijana na fedha ya kuwatunza yaani kuwaonyesha kuwajali nakuwa mahitaji muhimu niwazi kuwa zipo timu zinajipatia wachezaji kupitia timu B ( u20) . Leo hii tanga inatawaliwa na vijana wengi wenye vipaji lakini hupotea pasi nakuto fahamu wapi wamepotelea.
Sio kwel kwamba coastal union inashindwa kuwa na academic au timu nzuri ambayo tuta pata wachezaji kama vilabu vingine kama AZAM,SIMBA NA JKT RUVU nidhahiri spka huchezwa na vijana na hata ukiangalia YANGA wanafanya usajili wa vijana wengi ambao leo hii wanacheza timu ya taifa tanzania mifano mizur MESSI,SAIMON MSUVA NA DEMAYO Hawa nivijana toka timu ya taifa vijana mpaka taifa stars

Nijukumu letu kuhakikisha hata Tanga tunapata vijana kama hao lakini ni kwaku hakikisha tunatakiwa kuwa na timu nzuri

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com