Skip to main content

HIVI NDIVYO VICHWA VITAKAVYO WAKILISHA THEFRESH ENTERTAINMENT, BSS, TANGA 2012



Picha nivijana wawali IBRAHIM SIDI TWALONDAGA
pamoja na NASSORO OMARI KIBUGO a.k.a VOICER  Tayari wamekwisha
chukua fomu zaushiriki tayari kwa mchakato mzima
vijana wakopoa na wanafanya mazoezi usiku na mchana
ili kujiweka fiti kwaajili ya sikuio wakizungumza na blog
hii jana jioni vijana walisema wako fresh na wanajiamini
vyakutosha sababu wao niwakali na wanauwakika wakui
wakilisha vema thefresh entertainment, na TANGA kwau
jumla mwaka huu wa 2012 ikibidi ata star wamwaka huu
atokee hapa jijini tanga waliongeza kua tunawaonya hao 
wamikoani wajipange kwani wenyewe siwanafahamu kua
 tanga kunavipaji vyakweli basi wakae tayari wasanii hao
wakijigamba walipokua wanapiga stori na The-fresh blog
walipotembelewa mazoezini kwao jana jioni walipoulizwa
swali lakizushi kuhusu ushindndni mkubwa watakaokutananao sikuiyo ya usaili je wamejipangaje
 kwapamoja walijibu hatukatai kweli hapa jijini tanga kunawakali kibao ila tutakacho kifanya sikuiyo ata majaji wenyewe watakubali kua sisi ndio wawakilishi wakweli kwenda dar, kuiwakilisha TANGA

Tunawatakia kila lakheri wasanii hawa na wengineo watakao
jitokeza kuiwakilisha tanga kwenye usaili huo utakaofanyika
 siku ya juma mosi katika ukumbi wa LACASA CHIKA

 kila lakheri washiriki wote mtakaojitokeza ili mwende kuuwakilisha vema mkoawetu wa tanga kwani tunaamini
hapa jijini vipaji vipo na tunaweza tujiamini Blog hii inakuaidi
 Sapoti yakutosha jitokeze nasi tutakupa sapoti yakutosha,