Skip to main content

ANGALIA NA DOWNLOAD VIDIO MPYA YA ERICK IVYOIVYO ft PICO

Akipiga stor na blog hii leo asubuhi Msanii uyo wa vichekesho alifunguka
kua mimi naweza ndiomaana nimeamua kufanya na muziki na wimbo huu
nimemshilikisha msanii maarufu wa muda mrefu kwenye muziki wa kizazi
kipya hapa nchini PICO ailie wahi kutamba na wimbo wa Kikongwe kaka ni
Bonge la ngoma nimeifanyia hapa jijijni TANGA kwa producer J.B pale Elyz,
rec, na video nimefanya na production ya YOSSO PICTURES kule jijini
dar,eslamu

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa