Skip to main content

USAILI WA MAISHA PLUS UNAANZA LEO!

USAILI WA MAISHA PLUS UNAANZA LEO!

Masoud Kipanya

 

Kama uko eneo la bagamoyo na vitongoji vyake, nafasi ndo hii.
Katika misimu iliyopita tuliruhusu washiriki wa bagamoyo kuja Dar kwa usaili, na safari hii, walio dar wanaweza kuruka bagamoyo ingawa usaili wa Dar utakuwepo muda wake utakapofika.
Ukifika unapewa fomu, safari hii usaili ni 'FREE STYLE' kwa maana ya kwamba tukifika sokoni tunapiga kazi, tukifika uwanjani tunapiga kazi na hata mtaani tunapiga kazi.
Njoo sokoni karibu na kituo cha mabasi.
Lushoto, kesho tunakuja kesho 28/08/2012

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

Tugumiane tanga flevani 10_00AM-12_00PM 106.1Mhz @mwambaofm_ fm radio tanga