Skip to main content

Watakao uongozi wa ANC wajitaje

Chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, kimefungua daftari la watu wanaotaka kuania uongozi wa chama, ambao utaaniwa tena mwezi Disemba.
Rais Jacob Zuma
Rais Jacob Zuma anatarajiwa kupingwa na naibu wake, Kgalema Motlanthe kuania urais.
Wanachama milioni 1.2 wa ANC watachagua nani wa kumuunga mkono.
Katika miaka ya karibuni watu wa kabila la Zulu, kabila la Rais Zuma, wameingia kwa wingi zaidi kwenye chama; lakini wadadisi wanasema rais Zuma atapata shida kushikilia wadhifa wake.
Uchumi wa Afrika Kusini umezorota, na mauaji ya wachimba migodi yaliyofanywa na polisi yamepunguza hadhi ya Rais

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Tugumiane tanga flevani 10_00AM-12_00PM 106.1Mhz @mwambaofm_ fm radio tanga

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa