Skip to main content

Kiboko wa Bongo Movies Ney wa Mitego Ajichora Tatuu Mwili Mzima


Kwenye stage ya SERENGETI FIESTA 2012 msanii wa bongofleva Ney wa Mitego alivua t-shirt yake na kuacha mwili wake kuonekana mbele ya maelfu ya watu waliohudhuria ambapo michoro miwili mikubwa ilionekana kifuani kwake na mgongoni, michoro ambayo wengi waliyoiona walitamani kufahamu sababu za yeye kujichora hivyo.

Ney amesema “tattoo yangu ya kwanza niliichora nikiwa darasa la saba so napenda tattoo, mi napenda maisha flani hivi ya kihustler unajua… huyu jamaa kifuani nimemchora ni wale mamafia, masniper nawapenda na hakuna maana nyingine zaidi ya hiyo”

Kuhusu huu mchoro mgongoni mwake, Ney amesema “mi napenda mafuvu sana hata ukiingia ndani kwangu kuna picha nimebandika za mafuvu ukutani sielewi kwa nini huwa nazipenda”

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa