Skip to main content

RATIBA NA UTARATIBU MZIMA WAMAZISHI YA MAREHEMU "Emanuel Gabriel Rushahu" KAKA YAKE NA MSANII BWANA MISOSI!

Mambo ndugu zangu..
Napenda kuwajulisha mpangilio mzima wa mazishi ya kaka yangu Emmanuel Gabriel Rushahu"msiba upo nyumbani kwa mama misosi kinyerezi mwisho na mazishi yatafanyika siku ya ijumaa(tar 26/10/2012) na kuanzia saa sita mchana tutakua tunauaga mwili wa marehemu hapa hapa nyumbani kinyerezi na misa ya mazishi itafanyika saa nane mchana ktk kanisa katoliki la segerea na baada ya misa tutakwenda kumpumzisha ktk makaburi ya segerea"ndugu jamaa na marafiki karibuni tumsindikize kaka yetu"Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

Tugumiane tanga flevani 10_00AM-12_00PM 106.1Mhz @mwambaofm_ fm radio tanga