
Happy birthday! Mtoto mlito m-mungu akupe maisha marefu
Namshukuru mwenyezi mungu kwa kuendelea kunibariki,kunijalia afya njema,amani na upendo mpaka leo hii si kama ni mwema sana bali ni kwa neema yake mwenyezi mungu isiyo na kikomo.nawashukuruni wote ndugu zangu kwa kunitakia maisha mema yenye amani na baraka zake mwenyezi mungu!nami niwatakie maisha mema na tupendane kwani 2 watoto wa baba mmoja.!!!!!!!