Skip to main content

Mpango kuhusu Mali watayarishwa

Mawaziri wa Ivory Coast katika mkutano wa ECOWAS, NigeriaViongozi wa Afrika Magharibi wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja, kukamilisha mipango ya kuwatuma wanajeshi kaskazini mwa Mali.
Mazungumzo hayo yatashughulika na mapendekezo ya kutuma wanajeshi elfu kadha kuwaondoa wapiganaji wa Kiislamu, iwapo juhudi za kufanya majadiliano hazitafanikiwa.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasihi viongozi Afrika magharibi kutayarisha mpango huo kufikia mwisho wa mwezi huu.
Mataifa ya Magharibi yamejitolea kutuma vikosi vya kutoa mafunzo kwa majeshi ya Afrika Magharibi.

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa