Skip to main content

R.I.P SHARO MILIONEA!!!!!!!!!!!!!!!

Photo: 5SELEKT (3:00pm): Karibu kwenye show ya Ukweli BONGO na EAST AFRICA, Tuongee hisia zetu hapa, Tufanye yetu Hapa.

Mzigo mzima upo hivii:

HOBBIES: Listening to Music, Dancing na Reading.

Surprise Video: ***** At***tis

CHEMBA TOPIC:

Unafahamu kuwa ukiwa na hadhi yako una kila sababu ya kuibakisha hapo ilipo au kuikuza - Yani Kumentain Man! kama ni mwanafunzi tusikukute Baa na uniform. R.I.P Sharo Milionea.

*Endelea kueleza pia hisia zako kwa #SharoMillionea hapaWatu waliamini ukitaka kumchekesha mtu lazima utumie nguvu,uweke matambaa tumboni,uvae nguo za ajabuajabu....Ila mimi niliamua kuwa tofauti zaidi niliamua kuwachekesha watu kisafi,bila kutumia nguvu bali kuwa mbunifu zaidi''
~SHARO MILIONEA

Ni kweli ulileta mabadiliko kwenye sekta ya uchekeshaji
na ulikubalika na rika lote

Pumzika Kwa Amani
Mwana tanga,mtanzania mwenzetu

SHARO BARO

SHARO MILIONEA

r.i.p

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

Tugumiane tanga flevani 10_00AM-12_00PM 106.1Mhz @mwambaofm_ fm radio tanga