BALAA JUU YA BALAA: MASOGANGE NA MWENZAKE MELISA WARUDISHWA RUMANDE! HAKUNA DHAMANA WALA NINI!!!! CHEKI HAPA YANI HADI HURUMA.
Dawa za kulevya. Huku akiwa hajui nini hatima ya kesi inayomkabili ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini, Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ amep ata balaa jipya. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo nchini humo, Masogange na mwenzake aliyekamatwa naye, Melisa Edward wamefutiwa dhamana hivyo wamerudi tena rumande. Agnes Gerald ‘Masogange’. KWA NINI DHAMANA IFUTWE ?. Habari zinadai kuwa, dhamana za wawili hao zimefutwa kufuatia kuhisiwa kwamba wana mpango wa kuondoka nchini huko kinyemela na kurejea Tanzania, jambo ambalo limetafsiriwa kama jaribio la kuikimbia kesi hiyo. “Unajua huku Sauzi si kila mtu anawaonea huruma Masogange na Melisa kwa tatizo lililowapata, sasa utakuta maskani mtu anaropoka vitu vya ajabu pengine vya uongo bila kujua kuwa si kila mtu anayesikiliza atayaachia hapohapo, wengine ni ‘mainfoma’ wanayafikisha mbele. “Hicho ndicho kilichomtokea Masogange,