August 20, 2013 Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisihapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps