Skip to main content

CHELSEA NA SPURS LEO MCHANA WA LEO

CHELSEA NA SPURS LEO MCHANA WA LEO

White Hart Lane leo kutawaka moto wakati Tottenham itataka kuendelea kujikita kileleni wakiwa na alama sawa na majirani zao wengine wa London Arsenal.
Itawabidi kuifua vilivyo Chelsea, Chelsea wao wataingia katika mchezo huu wakitafuta pointi tatu muhimu ili kuendeleza moto wa kutoa vichapo waliouanzisha hivi karibuni.

Andre Villas-Boas alikua meneja wa Chelsea na kwa sasa anaikochi Spurs. Jose Mourinho yeye ni meneja wa Chelsea - wote ni raia wa Portugal lakini ni kama chui na paka kwa sasa.

Hakuna maelewano kati yao ingawa wameshawahi kufanya kazi pamoja.

Beki wa kushoto Danny Rose anatarajiwa kurudi dimbani baada ya kupona jeraha la dole gumba kwa Spurs, ilhali Chelsea watasubiri kuona kama Ramires takua fiti, na balaa jingine ni kwamba Marco van Ginkel yeye atakua nje kwa takribani miezi sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.

MUDA: 2:45 PM - Tottenham Hotspur vs Chelsea

TOA MAONI YAKO NA SHARE HII KAMA NI MWANA CHELSEAWhite Hart Lane leo kutawaka moto wakati Tottenham itataka kuendelea kujikita kileleni wakiwa na alama sawa na majirani zao wengine wa London Arsenal.
Itawabidi kuifua vilivyo Chelsea, Chelsea wao wataingia katika mchezo huu wakitafuta pointi tatu muhimu ili kuendeleza moto wa kutoa vichapo waliouanzisha hivi karibuni.
Andre Villas-Boas alikua meneja wa Chelsea na kwa sasa anaikochi Spurs. Jose Mourinho yeye ni meneja wa Chelsea - wote ni raia wa Portugal lakini ni kama chui na paka kwa sasa.
Hakuna maelewano kati yao ingawa wameshawahi kufanya kazi pamoja.
Beki wa kushoto Danny Rose anatarajiwa kurudi dimbani baada ya kupona jeraha la dole gumba kwa Spurs, ilhali Chelsea watasubiri kuona kama Ramires takua fiti, na balaa jingine ni kwamba Marco van Ginkel yeye atakua nje kwa takribani miezi sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
MUDA: 2:45 PM - Tottenham Hotspur vs Chelsea
TOA MAONI YAKO NA SHARE HII KAMA NI MWANA CHELSE

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com