Akizungumza na blog hii kwa niaba ya mkurugenzi wa studio hiyo prudyuza
chapsy, amesema tamasha hilo litafanyika mwanzoni mwa mwezi ujao ambalo
litawakusanyisha takribani nusu ya wasanii wa tanga wakisindikizwa na
wakali wengine ktk dar. tamasha hilo ambalo limepewa nguvu kubwa na
kampuni inayojishulisha na mambo ya kiburudani ya ZECHA ENTERTAINMENT
ikshirikiana na umoja wa wasanii waliorikodi studio hiyo litakuwa ni
la kihistoria kwani mpaka sasa maandalizi yako vizuri tu, kwa upande
wa prodjuza chapsy amesema, ''ninatahakikisha na ninaahidi kufanya kazi
nzuri kwa kila atakaye rikodi kwetu na mifano ipo namtaiona kwani
mpaka sasa nimefanya kazi nawasanii wengi tu km wizaman,shaksi
msela,man o na baguje zikiwa tayari mtazisikia