UWANJA: CHAMAZI STADIUM
TAREHE: 1st ,DECEMBER 2013MUDA: 03:00PMCoastal union iliingia hatua ya fainali baada ya
kuifanyia kitu mbaya Azam fc kwa kuichapa 1-0
,wakati Yanga waliigaragaza Mtibwa Sugar
kwa jumla ya goli 3-1.
Kila Heri vijana wetu wa Coastal Union.