- Pole sana Dr Leader Kwa msiba mzito wa kuondokewa na mke, mzazi mwenzio na mpendwa
- wako. mungu akupe roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. kila nafsi itaonja mauti.
- mwenyezi mungu aiweke roho ya marahemu mahali pema peponi,
- You, Selle Wamichanno and 16 others like this.

























