Skip to main content
Baada ya kimya kingi msanii anaetamba na hit song ya WANANICHUNGUZA wimbo bora wa mwaka ulioimbwa na msanii mashuhuri hapa nchini MSANGENI CLASSIC, hatimae ametoa tamko la ujio mpya wa song yake ambalo bado ipo studio,Wananichunguza ni nyimbo kali na inafanya vizuri hapa tanzania,wale mashabiki wa msangeni sasa unaweza kuipata nyimbo hii kupitia blog hii.DOWNLOAD NOW.


Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa