Msanii anaetamba kwenye game la mziki tanzania na nje pia msanii DONSHER anatarajia kuachia wimbo wake mpya kesho jumapili 22/03/2015 katika studio za BREEZE FM RADIO 100.6 huko jijini tanga,katika kipindi cha SUPER STAR SHOW ambacho ana ki host a best presenter in tanga city CHOPPA ZON
Ukiwa mmoja kati ya wadau wa mziki wa nyumbani na shabiki wa DONSHER usikose kusikiliza na ku download baada ya kutambulishwa kwa wimbo huo mpya.