Skip to main content
Sikiliza na download Top c, ni soo!!!
Wengi mna shauku ya kujua kwa nini nipo kimya kwa nini nilifanya poa nikapotea ni ajabu na kweli hata mimi sijui kwa nini kitu kizuri akidumu nasikia ngoma nyingi wana wanafanya na laiti ningekuwa mpitishaji wengi wangeniona mkazaji mana sijui wanaimba nini nina swali ambalo halina jibu mpaka leo HIVI NI KWELI PROMO NDIE ANAE ZIMACHECHE ZANGU
Hilo niswa alimalizia msanii top c akipiga stori na blog
baada yakuikabizisha kaziyake mpya kwa C.E.O wa
thefresh entertainment, lehii kwanjia ya mtandao
Popular posts from this blog