Skip to main content

Chris Brown avamiwa nyumbani kwake na watu wenye silaha za Moto.


Hili litakuwa ni tukio la pili la uvamizi ambalo litakuwa limempata Chris Brown katika mwaka huu, ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwezi may mwezi huu ambapo alivamiwa na watu wenye silaha Nyumbani kwake.
Chris Brown anaishi katika mitaa ya Tarzana Mjini Los Angeles Calfonia nchini Marekani, wakati majambazi hayo yalipovamia nyumbani kwa Chris hawakuweza kumkuta na walifanikiwa kuiba vitu vyenye thamani kubwa.
Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ wamesema kuwa Tukio hilo lilitokea siku ya tarehe 15 mida ya sa 8 wakati Chris Brown akiwa kwenye starehe.

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com