Skip to main content

SINGASINGA WA ESCROW ATUA CHADEMA RASMI NA CHAMA KUZIDI KUIMALIKA.


mmiliki wa kampuni ya IPTL Herbinder Singh Seth almaarufu kama SINGASINGA saa na wakati wowote anatarajiwa kujiunga Na CHADEMA na kwamba inasemwa mipango yote ya kufanya hivyo imekamilika.

Taarifa zinasema SETH ambaye amekumbwa na SKENDO maarufu ya ESCROW ameamua kuhamia CHADEMA baada ya kugundua kwamba Chama hicho ndio eneo pekee anapoweza kusafishwa na kuonekana Hana hatia kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake EDWARD LOWASSA.
taarifa zinazidi kutonya kwamba SINGASINGA anatarajiwa Kutua nchini saa yoyote kutoka Sasa na kwamba atapokelewa kwa maandamano makubwa kuanzia uwanja wa ndege mpaka makao makuu ya CUF Buguruni Kisha makao makuu ya Nccr Mageuzi yaliyopo ilala na baadae makao makuu ya chadema yaliyopo kinondoni UFIPA ambapo anatarajiwa kufanya Press conference akiambatana na wabia wake wa kibiashara akiwemo James Rugemalila wa kampuni ya VIP na wamiliki wa kampuni ya Simba Trust.
Kitendo cha SINGASINGA kuamua kujiunga na CHADEMA kinatarajiwa kuwa cha kusisimua na cha aina yake huku watu wengi wakionyesha kutokushangaa iwapo itatokea kwa kuwa Sasa Chama hicho kimeamua kuwa zoa zoa na kwamba hakichagui mtu...

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com