Skip to main content

Yaliyojiri Jijini Tanga leo

 Pamoja na Wapeperusha Bedera za Vyama vyao kuwania Ubunge jimbo la tanga walivyorudisha fomu:
Mbunge mtetezi na mwakilishi wa CCM mh. Omari R Nundu Alingia kimnya kimnya Ofisini kwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kunako saa nne Asubuhi akisindikizwa na Wana CCM wapatao nane mpaka 10 hivi.


 
Pia Chama cha Wananchi CUF kiliingia kwa Vishindo kwa Msafara wa Magari na Honi wakimsindikiza Mpeperusha bendera wao Mh. Mussa Mbaruku, akina mama na baba wakiwa na vijana walionekana wakiwa na Hamasa katika kutimiza zoezi hilo la kurudisha Fomu. hii ilikuwa ni kama saasaba kasoro hiv

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa