Skip to main content

Mr Blue: Nilimtoa mke wangu klabu za pombe

MUziKi gANi?'s photo.
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer, maarufu Mr. Blue, ameweka wazi namna alivyombadilisha kimaisha mke wake, Warda baada ya kumtoa kwenye klabu za usiku.
Mr. Blue, anayetamba na wimbo wa ‘Baki na Mimi’, alisema wimbo huo unaeleza maisha halisi ya yeye na mke wake huyo tangu walipokutana hadi walivyoishi na kufikia maamuzi ya kuoana na kuanzisha familia ambayo kwa sasa wana watoto wawili.

Popular posts from this blog

NEW JOINT | dayna special nipe nafasi {Audio}

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa