Skip to main content

MIMI SIRINGI ILA MAZINGIRA NINAYOFANYIA KAZI KWA SASA NDIYO YANA NIFANYA NAONEKANA KUWA NARINGA


 

Andrew music afunguka jinsi mazingira yanavyombana mpaka baazi ya wasanii kumchukulia kama ni producer mwenye maringo
Akipiga stori na c.e.o wa blog hii producer Andrew alifunguka ya moyoni na kuweka wazi kua yeye sio mtu wamaringo ila mazingira yake ya kazi ndio kikwazo chakutokua huru kufanya kazi na wanaotamani kufanyanae kazi
Pia producer andrew amesema kua yeye ni producer mwenyeuwezo mkubwa na anaweza kufanya kazi na msanii yeyote mwenye kipaji
Producer Andrew aliongeza kua mwaka 2017 ni mwaka wa mapinduzi kwake ya kiburudani zaidi
Yah!soon mapinduzi makubwa yatakuja.
Nipo kwenye hatua za mwisho kujenga studio yangu kwa ajili ya kuinua sanaa yetu ya Tanga.
Unajua hapa Huruma nashindwa kufanya kazi na watu wengi wa muziki wetu wa kizazi kipya sababu ya nature ya studio
Watu wanasema sana kitaa kuwa naringa wanashindwa kujua kuwa pale sina mamlaka ya kujiamulia mambo
Ndio maana nikaamua nitengeneze studio ili nikidhi kiu yao ya kufanya kazi na mimi kikamilif mzee.

Popular posts from this blog

Goog music from tng jojo yatakwisha hii apa

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Squizer Ft Belle 9 - Mtemi Pesa

MAJINA YA WASHIRIKI NA WA WEZESHAJI WA FILM YA HOUSE GIRL!

CAST SELEMANI MOHAMED / BUNTO ANDREW / C-O YORAM MWETA / MGANGA MWANTUMU / MKE WA C-O JOHN / MCHUNGAJI BI FURURATU / JINI WAOMBOLEZAJI SAUMU HUSENI HASHIMU BABA RASTA MAN YOHANNA TAMILWAI SAIDI MWALUBADU SEMY STIR SELEMANI MOHAMEDI  AND ANDREW C-O LOCATION ATHUMANI HAMADI MAKE UP MWASHAMBA RAMADHANI BEDUI DEREVA DAUDI SPOONSER SAIDI SHABANI AND THE FRESH2012 GLOB SOUND PRODUCER J-B LIGHT YOHANNA TAMILWAI THENK YOU THE FRESH ENERTAINMENT AND THE FRESH2012 BLOG CONTACTS 0653785027 +255714091786 ZAIDI TEMBELEA www.the-fresh.blogspot.com ADRESS Thefresh@ymail.com AU Saidshabani60@gmai.com