Skip to main content

Posts

Ija music furahi prod swabree huntersec mp3

Mr Blue: Nilimtoa mke wangu klabu za pombe

MKALI wa  muziki  wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer, maarufu Mr. Blue, ameweka wazi namna alivyombadilisha kimaisha mke wake, Warda baada ya kumtoa kwenye klabu za usiku. Mr. Blue, anayetamba na wimbo wa ‘Baki na Mimi’, alisema wimbo huo unaeleza maisha halisi ya yeye na mke wake huyo tangu walipokutana hadi walivyoishi na kufikia maamuzi ya kuoana na kuanzisha familia ambayo kwa sasa wana watoto wawili.

ROMA-Viva_Roma_Viva.mp3

DOWNLOAD NAY WA MITEGO - LOWASSA - MP3.

CLIIP NYUMA YAPAZIA TV ONLINE 1

Yaliyojiri Jijini Tanga leo

 Pamoja na Wapeperusha Bedera za Vyama vyao kuwania Ubunge jimbo la tanga walivyorudisha fomu: Mbunge mtetezi na mwakilishi wa CCM mh.  Omari R Nundu  Alingia kimnya kimnya Ofisini kwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kunako saa nne Asubuhi akisindikizwa na Wana CCM wapatao nane mpaka 10 hivi.   Pia Chama cha Wananchi CUF kiliingia kwa Vishindo kwa Msafara wa Magari na Honi wakimsindikiza Mpeperusha bendera wao Mh. Mussa Mbaruku, akina mama na baba wakiwa na vijana walionekana wakiwa na Hamasa katika kutimiza zoezi hilo la kurudisha Fomu. hii ilikuwa ni kama saasaba kasoro hiv

Tume ya Uchaguzi (NEC) imewaengua wagombea urais wa vyama vya Ada/Tadea, DP, CCK na AFP leo kwa maelezo kuwa wamekosa vigezo vya kugombea nafasi hiyo kubwa ya uongozi hapa nchini.

Kwa mantiki hiyo, Mchungaji Christopher Mtikila (DP), Godfrey Malissa (CCK) na John Chipaka (Ada-Tadea) hawatashiriki katika kinyang’anyiro hicho baada ya fomu zao kuonekana kuwa zina kasoro huku mgombea urais wa AFP, Omari Sombi akiungana na wanasiasa hao kutogombea baada ya kushindwa kurejesha fom u ya urais. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva, wagombea wa vyama vinane kati ya 12 vilivyochukua fomu, wamekidhi matakwa ya sheria ya mchakato huo, hivyo wanaruhusiwa kuanza kampeni rasmi kesho. Amewataja wagombea waliopitishwa na NEC ni Dk. John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema), Fahmi Dovutwa (UPDP), Macmillan Lyimo (TLP) na Chief Lutalosa Yemba (ADC). Wengine ni Anna Mghwira (ACT-Wazalendo) na Hashimu Rungwe (Chaumma) na Malik Kasambala (NRA). (C) Mwananchi Je, Tutarajie Mchungaji Christopher Mtikila Kutinga Mahakamani kupinga katazo hilo??